Msaada kwa wanaokifahamu chuo cha NIT

Fafanua
Maana NiT kuna ngazi ya diploma na degree
Ikiwa wanafunzi wa diploma wapo chini ya NACTE
Na wanafunzi wa degree wapo chini ya TCU
Sasa wanafunzi walio feli kuwepo NIT shida ni nani NIT au TCU na NACTE Fafanua kidogo mkuu ili tuelewe
achana na mambulula hao wameumbwa kupondaponda tu na chuki kuwajaaa,ukichunguza utamkuta yupo tigo au voda wanasajili line,nawajua wengi sana walijidai vipanga na creative na sasa wapo wanaburn cd tu mtaani
 
Mkuu kuna Uzi uliletwa humu unakiponda balaa...ila sijui ka hizo tuhuma zina kaukweli..
BTW apply it for your own risk.

Delta Force
 
Povu lnaktooka ur out ov thread bitch
Jukwaa la elimu kwa mategemeo yangu ni mahala pa kuelemishana-sasa haya mengine sijui yanafaida gani. Ni wazi kuna tatizo la utumiaji wa sarufi ya h. Pia tunatakiwa kuwa wavumilivu matusi hayana bei yana gharama tu. Lingine hapa pia na mahali unaweza kujifunza kutoa michango yenye mantiki hivyo usishangae maneno kama "ur" na "ov" yakafanya uzi wako au mchango wako usipate tafakuri ambayo ingestahili.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom