Msaada kwa wanaokifahamu chuo cha NIT

Msaada kwa wanaokifahamu chuo cha NIT

Wakati mwingine
Uandishi unakera
Eti msahada! Ivi ni kutokujali au kweli kuandika neno msaada ni shida? Ina maana ata kulisoma na kulisikia mahali flani kwamba linaandikwa ivi pia hujawahi mwandishi?
Ivi (hivi)
 
Una umama sana wewe kijana, ndo maana unaandika kwa mkato na kwa maringo. Hata hiyo fomu ya maombi utakosea kuijaza maana uwezo wako ni wa kusoma Certificate sio degree.
umepanic tyr
 
Habar wana jf. Napenda kujua kwa undani chuo cha usafirishaji ktk taaluma na mazingira kwa ujumla pamoja na course ambayo ni unique kwa kada ya degreee. (Nmesoma EGM) ahsante nakaribisha mchango wenu wadau
Course ambayo ni unique ndio course gani hiyo? Maana kila course ni unique HR sio sawa na Mechanical na sio sawa na Aviation
 
Habar wana jf. Napenda kujua kwa undani chuo cha usafirishaji ktk taaluma na mazingira kwa ujumla pamoja na course ambayo ni unique kwa kada ya degreee. (Nmesoma EGM) ahsante nakaribisha mchango wenu wadau
Kwa nit kabda logistics and transport, Aircraft engineering na Account and transport nyengne zote utazipata vyuo vyengine zipo
 
kozi za engineering pale NIT ada yake ndefuu not less than 4M kumbuka mwisho bodi inatoa 3.2M. Aircraft maintainance kama 10M hivi
Kuna engineering kozi tatu .............................,..............
*mechanical engineering
* automobile engineering
*Air craft engineering
 
Habar wana jf. Napenda kujua kwa undani chuo cha usafirishaji ktk taaluma na mazingira kwa ujumla pamoja na course ambayo ni unique kwa kada ya degreee. (Nmesoma EGM) ahsante nakaribisha mchango wenu wadau
Njoo pm nikupe msaada, nakielewa vizuri hicho chuo

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Sio typing error, ni uzembe mtu kufika kidato cha sita halafu hujui kuandika lugha yako ya taifa. Ndo hawa hawachelewi kukufanyia operation ya kichwa badala ya mguu.
Wewe mwenyewe kumbe ni unga unamkosoa mwenzio badala ndiyo nini sasa sio badala bhana ni baada

Sent from my GT-S7262 using JamiiForums mobile app
 
Wakati mwingine
Uandishi unakera
Eti msahada! Ivi ni kutokujali au kweli kuandika neno msaada ni shida? Ina maana ata kulisoma na kulisikia mahali flani kwamba linaandikwa ivi pia hujawahi mwandishi?
Ivi = Hivi
ata= Hata
Flani = fulani

"A voice of one calling in the wildernes"
 
NIT ni University au genge la waliofeli?
Fafanua
Maana NiT kuna ngazi ya diploma na degree
Ikiwa wanafunzi wa diploma wapo chini ya NACTE
Na wanafunzi wa degree wapo chini ya TCU
Sasa wanafunzi walio feli kuwepo NIT shida ni nani NIT au TCU na NACTE Fafanua kidogo mkuu ili tuelewe
 
Back
Top Bottom