Napenda kufahamu mazingira ya chuo cha RUCU

GERRY12

Member
Mar 6, 2023
51
36
Habari wana JamiiForums,

Napenda kufahamu mazingira ya chuo cha RUCU (ruaha Catholic University) Kwa wale wanaokifahamu na kwa wale wakazi wa Iringa watupe dondoo za maisha ya huko yakoje asanteni!
 
Ni chuo kizuri kitaaluma, kiko kati kati ya manispaa ya Iringa yani kiko mjini kabisa, Mazingira mazuri, ni moja ya vyuo vikuu vitatu vinavyo patikana manispaa ya iringa (Chuo kikuu cha Iringa zamani kiliitwa Tumaini University, na Chuo kikuu cha Mkwawa)
 
Shukran kiongozi
 
Chuo safii kiko iringa town katikati kabsa kama unapenda pisi kali hapo ndio mahari pake pisi kali siko kama njungu watoto soft soft
 
mi ni mlokole Kaka angu inaonekana we ni mwenyeji wa iringa
 
Back
Top Bottom