big result now
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
Hawa jamaa walitangaza nafasi za kazo mwaka jana mwezi wa 12, wamenipigua simu leo kuwa ninahitajika kwenye interview jumatatu.
Kiukweli nilishasahau maana toka mwaka jana mwezi wa 12 mpaka leo mwezi wa tano ni mda ushapita, nimejaribu kuwafuatilia google, lakini nimeona sio mbaya kuwauliza wadau kama wapo wanaowafahamu zaid wanipe taarifa zaidi.
Nafasi ni sales representative.