Msaada kwa waliopita UDSM na UDOM

Wa kupuuzwa

Member
Oct 2, 2020
94
63
Wakuu Wasalaam

Mimi ni kijana, niliyemaliza kidato cha sita, na nimepata bahati kubwa ya kuchaguliwa miongoni mwa vyuo bora hapa nchini UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM, katika kozi ya POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION.

Ni miongoni mwa kozi nazozipenda sana, kutokana na ambition yangu hapo mbeleni,

Brothers and sisters, kwa yeyote ambaye anasoma/aliyepata kusoma hiyo course,
1: Ugumu au wepesi wa course
2: Mapro wa course hiyo pamoja na tabia zao, za kipekee
3: Maeneo ya kufanya field n.k

Karibuni
 
Hongera kwa kuchaguliwa dogo....kwa kujibu maswali yako
1.Hakuna ugumu wa kitu kama umekichagua.I hope wakati una apply hiyo ni moja ya course uliyochagua wewe mwenyewe...course yoyote ili iwe rahisi unahitaji bidii.Soma, kuwa na nidhamu na fuata unachoelekezwa.

2.Kutaka kujua tabia za ma professor (I hope uliposema pro ndo ulimaanisha hivyo) haitakusaidia kitu kwasabu wale wanafundisha kinachopaswa kufundishwa na hakitokani na tabia zao...na wala tabia zao hazita determine ufaulu ama kufeli kwako. Kila siku wanakuja wapya so hata nilikuambia alienifundisha mimi unaweza usimkute....kasome kwa bidiii.

3.Maeneo ya field Dogo kasome kwanza utoboe huo mwaka wa kwanza upate ufahamu wa kile umachosoma ndio utajua field uende wapi....Unawaza ya mbele wakati hujaanza hata kusoma PS 111....

Kwa kifupi hayo uliyoyauliza nadhani umeskia tu mastory ya mtaani ko unataka kujikoki.Kaanze chuo hayo mambo tayakuta na hayatakusumbua as you think.Hakuna hata moja ambalo ni la msingi kihiiiivyo uhangaike kuuliza mapema.

All the best kiddo!
 
Shukran, Mkuu, Ahsante kwa ushauri
 
Mapro wa course hiyo pamoja na tabia zao, za kipekee
Ni kitu kizuri kuwajua maprof wako na tabia zao inaweza kukusaidia katika kuhandle somo. Hawa utawajua vizuri ukiwa darasani na kuwasikiliza na kuwachunguza kwa umakini. Hii itasaidia wewe kujiongeza ili umudu vizuri courses zao.
 
Shukran mkuu
 
Kwa Dodoma kozi ipo College of Social Sciences, almaarufu kama Bondeni.

Kozi nzuri, japo ni maarufu kwa ugumu wa kozi za falsafa. , yote yanategemea WILL POWER ya kutaka kuwa mwana siasa/falsafa na kusoma.

Hongera sana.
 
Shukran mkuu, Ugumu wa kozi hio upo kwenye Falsafa tu,??
 
Nenda Kasome Kwa Juhudi Na Upate Maarifa Yatakayo Kusaidia Wewe Mwenyewe Na Taifa Kwa Ujumla
Epuka
Forex
Mr Kuku
Betting

Hakuna Pesa Za Ku Download Dunia Hii
 
Wakuu Wasalaam

Mimi ni kijana, niliyemaliza kidato cha sita, na nimepata bahati kubwa ya kuchaguliwa miongoni mwa vyuo bora hapa nchini UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM, katika kozi ya POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION.

Ni miongoni mwa kozi nazozipenda sana, kutokana na ambition yangu hapo mbeleni,

Brothers and sisters, kwa yeyote ambaye anasoma/aliyepata kusoma hiyo course,
1: Ugumu au wepesi wa course
2: Mapro wa course hiyo pamoja na tabia zao, za kipekee
3: Maeneo ya kufanya field n.k

Karibuni
Binafsi naona hiyo ni miongoni mwa kozi za ovyo kabisa katika zama hizi. Huwezi kuajiriwa popote na haikuhitaji kuisoma hiyo kozi ili kuja kujiajiri. Hiyo ni zilipendwa kozi. Sipo hapa kukukatisha tamaa, lakini kukuambiwa ukweli.

Kama huamini, basi nenda kachunguze wahitimu wa hiyo kozi waliomaliza ndani ya miaka kumi iliyopita wako wapi kwa sasa na wanafanya nini.

Ushauri wangu kwako.
Jipange kufanya kitu tofauti ukiwa unaisoma hiyo kozi ili uje kuwa mtu tofauti utakapomalizwa. Utafanyeje fanyeje, hilo mimi sijui.
 
Shukran mkuu, kwa Upande wa Art kozi ipi unaiona kwa upande wako in nzuri
 
Wakuu Wasalaam

Mimi ni kijana, niliyemaliza kidato cha sita, na nimepata bahati kubwa ya kuchaguliwa miongoni mwa vyuo bora hapa nchini UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM, katika kozi ya POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION.

Ni miongoni mwa kozi nazozipenda sana, kutokana na ambition yangu hapo mbeleni,

Brothers and sisters, kwa yeyote ambaye anasoma/aliyepata kusoma hiyo course,
1: Ugumu au wepesi wa course
2: Mapro wa course hiyo pamoja na tabia zao, za kipekee
3: Maeneo ya kufanya field n.k

Karibuni
Mdogo wangu we nenda kasome"

Ukiwa unasoma soma kupata Elimu sio ili kutfta ajira.

Na kama umechaguliwa UDSM nenda fanya utaratibu wa kubadilisha corse uchukue " Law" hakika hutojuta maishan mwako ila ujiandae kupiga msuli wa kufa mtu ....mpka ufikie level ya kumiliki mhuri wako kama wakil wa kujitegemea apo utakuwa umeshaula aiseee"..

Jumla ni miaka (4)
 
Mkuu LAW ni nzuri mnoo, ila naskia msuli wake sio poa, pale udsm,
 
Mdogo wangu sikukatishi tamaa Ila hio kozi Haina ishu kabisa Mara Mia ungeenda Kubadili ukakomae na LAW Hilo kozi limekaa kisiasa siasa Kama linavijitambulisha ( nadhani unajua siasa za Tanzania)
 
Mkuu LAW ni nzuri mnoo, ila naskia msuli wake sio poa, pale udsm,
Ni nzuri sana Tena sana Kuna washikaji zangu apa Dar wamesoma apo UDSM miaka 4 sa ivi wana ofisi zao safi na daily watu wanapeleka. Changamoto zao either kupigiwa Mhuri au kutatuliwa kbhxa "

Mfano mhuri mmja si chini ya Tshs 50K na kwa siku lazma apige si chini ya mihuri 10 kwa watu weny mfano matatizo mbalimbali mfano mirath, arthi, kwa Bei tofauti.
 
Back
Top Bottom