Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Samahani wakuu,sina access ya jukwaa la dini.Nimeona niulize maswali yangu apa tafadhali:
(1) Hivi inaruhusiwa kwenda beach na mkeo,na ni nguo gani za kuvaa,kwa maana hawezi kuingia na hijab ndani ya maji.
(2) Je ninaweza kwenda na mke wangu sehemu za miziki na kuburudika bila kutumia kilevi chochote.
(3) Je inaruhusiwa kuangilia miziki na vipindi vya burudani kwenye TV.miziki hii ya kizazi kipya na series.
N.B
Kama wewe hujui kitu sio busara kuchangia huu uzi.Na huu sio Uzi wa mabishano ya dini.