Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,527
- 81,250
Kuwa na kiasi kwa kila kitu ndio jambo la msingi.
Hizo nyingine ni mbwembwe tu.
Hizo nyingine ni mbwembwe tu.
Uislamu una misingi na kanuni zake kuhusu mambo tofauti. Katika kila jambo ambalo Muislamu anafanya anafaa achunge maadili ya Kiislamu.
Uislamu katika hilo umemhimiza mwanamke awe ni mwenye kujisitiri kwa kuvaa mavazi ya Kiislamu hasa anapotoka nje na hata akiwa ndani kukiwa na wanaume ambao si maharimu zake basi anafaa ajitande kabisa. Allaah Aliyetukuka Anasema:
“Ewe Nabii! Waambie wake zako, na binti zako, na wake za Waumini wajiteremshie nguo zao. Hivyo ni karibu zaidi kuweza kutambulikana wasiudhiwe” (33: 59).
Hakika ni kuwa mavazi ya kuogelea huwa hayana sitara kabisa. Pia tufahamu kuwa Allaah Aliyetukuka hataki wanawake wawe ni wenye kutoka ovyo ovyo kama walivyokuwa wakitoka nje wanawake katika nyakati za ujahili kwa kujirembesha, kuwa uchi au karibu kuwa uchi na mengineo. Ikiwa hapana budi mwanamke atoke nje basi hana budi kuvaa nguo za heshima kinyume na hivyo ataingia katika ujinga. Anasema Aliyetukuka:
“Na kaeni majumbani kwenu, wala msijishauwe kwa majishauwo ya kijahilia ya kizamani” (33: 33).
Jamaa za mume, hasa wa kiume ni watu ambao kisheria hawafai kuona uchi wako (mwanamke) na uchi mwanamke ni mwili mzima isipokuwa uso na viganja vya mkono. Ni vyema ikiwa mke hana budi kwenda beach basi asiogelee kabisa kwani atakuwa ameruka mipaka iliyowekwa na Allaah Aliyetukuka na Mtume Wake (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) wala isiwe beach ya mchanganyiko wa wanawake kwa wanaume ambapo ataona wanaume waliovaa nguo za kuogelea na hivyo kuona maeneo ya uchi yao.
Mbona umeshangaa!!Duuuh!! Kumbeee eeh!?
Inshaalaah!!Mashallah, Allah akuzidishie kheri
Mkuu unafahamu kuwa Lugha inayotumika JF ni Kiswahili na Kingereza Tuu?Tuanzie hapa. Unajua tofauti kati ya HALAL, KHARAM, MAKRUH, MUBAH, MUSTAHAB?
Hapo unasema "Allahumma aamin" Allah akuzidishie ktk dunia na akhera yakoInshaalaah!!
Kuna vitu vimeni-surprise maana nilikuwa sivifahamu hapo kabla. Mshangao ukaja na nikajkuta nmeandika na ku-post kimshangao zaidi.Mbona umeshangaa!!


