Unamaanisha unauliza kama nimepitia maisha ya kudanganya mzazi? I didn't understand your logic!Kwani wewe haukupitia maisha hayo mkuu?
Hiyo kawaida tu wewe MPE hela. Kutoka kijijini isiwe hoja sana maana naye anahitaji ale bata, apendeze na kadhalika ndiyo maisha ya mjini Mkuu.
Ustarajie aishi maisha kama ya kijijini ni kitu ambacho hakiwezekani Mkuu.
Kama mtoto wa kike bora tu umuwaishie huo mtonyo kabla vidume havijaanza kuleta Nouma.
Mkuu SHAMAC, asante kwa kunipa uzoefu. Ni kweli yule kijana anadai wanafunzi wengine wote wamepewa isipokuwa wanafunzi wa colleges mbili, ikiwemo ya kwake! Mshangao wangu naona semister karibu inaisha lakini bado anasema hawajapewa. Mimi sina uzoefu na UDSM maana nimepitia kwingine!Huwezi jua chuoni kuna matatizo kibao yanayohusisha mikopo..,, ! Nilishawahi kukaa miezi miwili nasubiri Boom huku wenzangu walikwisha pewa kama two months b4., It's totally possible... Inategema ana shida gani..??
Siyo kudanganya bali ni kupitia maisha ya chuo kama anayokumbana nayo huyo dogo.Unamaanisha unauliza kama nimepitia maisha ya kudanganya mzazi? I didn't understand your logic!
Nimeshuhudia some students ambao hawakusain ela zao wamekosa boom wengine wamesain quator one wamepata 2 bado wakat saiv ni boom la semi2 wengine waliitwa kuhakiki taarifa hawakuenda so kila mtu ana balaa lake chuoni cjui yeye kimemfika nini au may be amehamia hapo so mkopo wake unaweza kuwa upo chuo cha mwanzo haujahama bado muulize kwann hajapata
Hebu acha kujibu kama unamjibu kijana mwenzio. Huyu ni mzazi na yupo serious na ameuliza waliopo UDSM kama hupo ni vizuri kupita. Wengi tumepita UDSM ila hatukudanganya wazazi ndugu yangu. Uongo ni dhambi na ukiona mtoto anakudanganya hafai huyo na maisha yake yatakuwa ya ovyo! chabusaluSiyo kudanganya bali ni kupitia maisha ya chuo kama anayokumbana nayo huyo dogo.