Msaada kwa wale wataalamu wa solar power

Msaada kwa wale wataalamu wa solar power

kwa uelewa wangu umeme WA dc ni umeme kama dry cell yaani WA kwenye betri za redio au torch ambao una positive charge na negative charge lakini umeme WA ac ni umeme kama WA tanesco

NI a.c
 
kwa uelewa wangu umeme WA dc ni umeme kama dry cell yaani WA kwenye betri za redio au torch ambao una positive charge na negative charge lakini umeme WA ac ni umeme kama WA tanesco
Solar pia Dc current mean Direct current tukisema dc tunamaanisha umeme mnyoofu current zina flow ktk one direction pia Ac yami Alternating current ni umeme geu yani current zina flow forward and backward undirectional ...tunaweza pia kubadili ac kwenda dc kwa kutumia luctifer au diode pia dc kwenda ac kwa inverter
 
mybe battery mbovu au ni kubwa coz ikiwa fresh inatakiwa ku generate umeme wa 200whts kwa 12 volt battery or 16.7 amp kila siku wakati wa kiangazi na 50whts kwa 12 volt battery or 4.20Amp hours ktk battery kila cku wakati wa masika so total output on year you will get 45kwh for 50 Walt solar panel
 
connection ya umeme ipo hiv..
umeme unatoka kwenye panel unakuja kwenye battery hafu unakuja kwenye invetor then kwenye taa..

Panel=>battery=>invetor=>Bulb

sasa (cjui ni ushamba) nashangaa hyo charger controll ipo au haipo?

Mdau, kati ya sola na battery Kuna kifaa kinaitwa charger controller. kwa ufafanuzi wako Ni kwamba hiki kifaa hakipo. ndio Maana Betri imekufa. inawezekana ilikua overcharged. tafuta fundi. kwani wewe sio mtaalamu.
 
Hello Mr Suprize!
Katika masuala ya solar ni sharti kuwa na nidhamu hasa katika matumizi. Bila shaka kwa mwaka mzima hukupata shida na sasa ghafula shida imeanza. Inaonekana ungependa kupata umeme usiku lakini haiwezekani. Ingawa hujaeleza system yako ilivyo, maswali yafuatayo yanaweza kukusaidia kupata tena umeme wakati wa usiku. Golden rule kwa solar ni hii: Mchana utatumia nguvu za jua na usiku utatumia AKIBA iliyowekezwa mchana kutwa kwa nguvu za jua katika battery yako! Now the questions:
1. Je panel yako inavuna jua la kutosha kujaza battery yako?
2. Je, afya ya battery yako (servicing) imefanyika kwa ufasaha? -- ni battery ya maji kwahiyo inahitaji service kama cleaning the terminals, checking water level etc
3. Je, battery yako ni A.H ngapi? pengine umetumia wrong battery kwa mwaka mzima na sasa imekufa (haiwezi kutunza/kufanya power banking) ili upate umeme usiku wakati ambapo panel haivuni chochote toka jua.
mkuu tafadhali msaada miye ninabetri ya maji,maji yamepungua vipi unanishauri niweke maji aina gani makali au mapole maji yaliyopungua ni makali
 
Habari wadau!
Natumia solar ya mjerumani walt 50 kwa zaidi ya mwaka, solar battery ya maji.
Cha kushangaza solar hii sipati umeme usiku, nikitaka kuchaji simu yangu na za watoto wangu inabidi nichaji mchana pindi jua linapowaka sababu usiku hakuna umeme.

Naomba msaada wenu, Je, Ni kweli solar walt 50 haiwezi kuchaji simu walao 5 tu na kupata umeme KIPINDI CHA usiku walao kuwasha taa/bulb 3 tu?

Na kama inawezekana wapi mimi nimekosea?
azima betri jaribu
 
Back
Top Bottom