Soma hapa mkuu
sura 18:83-86. Jua linazama kwenye kisima cha tope na watu wanaishi hapo jirani na hicho kisima cha tope linapozama jua
ukibisha pitia hizi hadith mkuu ili upate ilim
sahil bukari vol 4 book 54 number 421
"Abzur Ghifari anasimulia,siku moja mtume akaniuliza je unajua baada ya jua kuzama linaenda wapi,nikamjibu sijui labda mtume wa allah unaweza kujua vizuri,mtume akajibu baada ya jua kutua linatulia kusubiri amri ya allah kuchomoza tena,siku inakuja ambapo jua likosa ruhusa ya kuchomoza tena"
pitia na hii uone mambo
sunan abu dawud 3991
" Abu Dharr anasimulia,nilikua nimekaa nyuma ya mtume wa allgb aliyekua anaendesha punda wakati jua lilipokua linazama. Mtume akaniuliza je unajua jua linazama wapi?nikamjibu allah na mtume wake wanajua zaidi. Akajibu akasema linazama kwenye kisima cha maji ya moto"
hizo hadith na aya zinatuambia jua linazama kwenye tope zito,lakini unajua jua huwa linachoka na linahitaji kupumzika kwa uchovu wa siku nzima??pitia hapa
sura 36:38-40 inasema jua lina sehem ya kulala na kujipumzisha kwa uchovu,. Je ushawahi kujua mwezi unaishi wapi au unauona tu unawaka??pitia hapa
sura 36:40 ujue kua mwezi na jua vinaishi pamoja,ni majirani na wala mwezi wala jua haliruhusiwi kumpita mwenzake,wanatakiwa watembee sambamba,pamoja,wakaribishane na waombane chumvi,ni majirani wema
mwisho pitia hapa sura 18:90 jua linazunguka dunia..
Watu wanaona nyota,jua,mawe,maji nk ila hawajui kwa nini allah aliviumba,sasa leo ujue kwa nini allah aliumba nyota,soma sura 67:5 na 37:6-8. Allah aliumba nyota zimlinde dhidi ya shetani,aliumba nyota kama makombora ya kumtupia shetani ili kumfukuzia mbali,nyota zipo kwa ajili ya kulinda mbingu za juu anapoishi mungu ili asipate mashambulio toka kwa shetani..una swali mkuu?