MSAADA: Kwa waislam tu

Status
Not open for further replies.

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,415
1,379
Habari ndugu zangu,

Napendwa kujuzwa kuhusu vyakula vinavyotambulika na sheria za kiislam, yaani HALAL FOODS.

Kuna food flavouring ambazo zinatengenezwaga kwa kutumia ethanol (solvent).Mfano wa flouring hiyo ni VANILLA EXTRACT.Vanilla extract is obtained after extraction of vanillin from vanilla beans by using ethyl alcohol e.i. ethanol.Na flavouring(Kionjo) hiki kinatumika kwenye Ice cream,baked products na bidhaa kadha wa kadha za maziwa,mfano yogurt n.k

Swali langu ni hili,je ni haramu kutumia kionjo hiki au products zilizo-flavoured na vanilla extracts? Na kisheria vanilla ina 35% ya ethanol.
Naomba msaada kwenu wakuu.
 
Ingekuwa vyema ukazungumza na Moderators waanzishe Jukwaa Maalum La Dini Ya Kiislam maana hapa siyo mahali pake!!!!
 
Kwa elimu yangu ndogo najua unaweza kutumia as long haileweshi na nia yako kimatumizi haikuwa kuitumia kama kilevi
Hii ni sawa na alcohol inavyopatikana kwenye perfume...!
"Inna l' aamal bi niyat-hakika kila matendo hutokana na nia, na kwa hakika hizo nia zitalipwa"-hadith

Hakika Allah ndo mjuzi zaidi.
 
kwa mantik hyo bas ni haramu 35% ni nyng sana.. haram ni haram hakuna ndogo wala kubwa
 
Habari ndugu zangu,
Napendwa kujuzwa kuhusu vyakula vinavyotambulika na sheria za kiislam, yaani HALAL FOODS.
Kuna food flavouring ambazo zinatengenezwaga kwa kutumia ethanol (solvent).Mfano wa flouring hiyo ni VANILLA EXTRACT.Vanilla extract is obtained after extraction of vanillin from vanilla beans by using ethyl alcohol e.i. ethanol.Na flavouring(Kionjo) hiki kinatumika kwenye Ice cream,baked products na bidhaa kadha wa kadha za maziwa,mfano yogurt n.k
Swali langu ni hili,je ni haramu kutumia kionjo hiki au products zilizo-flavoured na vanilla extracts? Na kisheria vanilla ina 35% ya ethanol.
Naomba msaada kwenu wakuu.

Kama ina madhara na wewe au inakulewesha ni haramu.

Vyakula karibu vyote hutokosa kuipata "ethanol" ukiitafuta.

Sukari ni mfano mzuri lakini kama hauitumii kwa ulevi ni halali na kama inakudhuru ukiitumia ni haramu.
 
Kwa mujibu wa Quran yangu Kunywa pombe si haram. Kibaya ni kuswali ukiwa umelewa, sidhani kama ni dhambi tatizo ni hisia tu za watu, wanawaonea wanywaji pombe wivu.

soma Surat AN-NISAAI 4:43

Enyi mlio amini! Msikaribie Sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala hali mna janaba - isipo kuwa mmo safarini - mpaka mkoge. Na mkiwa wagonjwa, au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni, au mmewagusa wanawake - na msipate maji, basi ukusudieni mchanga safi, mpake nyuso zenu na mikono yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kughufiria.
 
waislamu wana vituko sana, yani itabidi hadi rais awe na mshauri maalum wa mambo ya kiislamu.

je wewe mleta mada wakati wa kuchamba unazamisha kidole chote cha kati ili kujisafisha kama uislamu unavyofundisha?

we mtoto wa kufikia wa kahtaan.hivi lile tatizo lako lishaisha
 
Last edited by a moderator:
Habari ndugu zangu,
Napendwa kujuzwa kuhusu vyakula vinavyotambulika na sheria za kiislam, yaani HALAL FOODS.
Kuna food flavouring ambazo zinatengenezwaga kwa kutumia ethanol (solvent).Mfano wa flouring hiyo ni VANILLA EXTRACT.Vanilla extract is obtained after extraction of vanillin from vanilla beans by using ethyl alcohol e.i. ethanol.Na flavouring(Kionjo) hiki kinatumika kwenye Ice cream,baked products na bidhaa kadha wa kadha za maziwa,mfano yogurt n.k
Swali langu ni hili,je ni haramu kutumia kionjo hiki au products zilizo-flavoured na vanilla extracts? Na kisheria vanilla ina 35% ya ethanol.
Naomba msaada kwenu wakuu.

Tembelea hapa: www.alhidaaya.com
 
Kama ina madhara na wewe au inakulewesha ni haramu.

Vyakula karibu vyote hutokosa kuipata "ethanol" ukiitafuta.

Sukari ni mfano mzuri lakini kama hauitumii kwa ulevi ni halali na kama inakudhuru ukiitumia ni haramu.

Nguruwe ni haramu kwa waislam lakini ukiwa na baa la njaa imehalalishwa , haramu ni kile kitokacho mtu na si vinginevyo mfano umekula kitu ukakitap.... huwezi kurudia kula kwa vile kimeshakuwa haramu na damu ya mnyama awaye yeyote nayo ni haramu haipaswi kuinywa sasa kwa wale wapenda visusio njoo ubishe nikupe maandiko mnakunywa najisi.
 
Kwa mujibu wa Quran yangu Kunywa pombe si haram. Kibaya ni kuswali ukiwa umelewa, sidhani kama ni dhambi tatizo ni hisia tu za watu, wanawaonea wanywaji pombe wivu.

soma Surat AN-NISAAI 4:43

Enyi mlio amini! Msikaribie Sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala hali mna janaba - isipo kuwa mmo safarini - mpaka mkoge. Na mkiwa wagonjwa, au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni, au mmewagusa wanawake - na msipate maji, basi ukusudieni mchanga safi, mpake nyuso zenu na mikono yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kughufiria.

Kama vile nimeelewa kilevi chochote si kwa waislamu wala wakristo ni haramu kwa hiyo usijifariji kwa hiyo aya hapo sijaona mahali pamehalalishwa pombe, pombe ni ya shetani na ndio maana Yesu alipoingia kwenye hekalu na kukuta watu wakinywa Divai kama kilevi aliimwaga yooote kwa kuwa pale ni mahali Patakatifu si kwa walevi na wanyanganyi na ndio maana ukinywa kilevi cha aina yeyote huwa kinakutuma kufanya mambo maovu tu ambayo ni ya shetani na hayampendezi Mungu pombe ni haramu.
 
Muuliza suala hakua na nia ya kujielimisha.
Kwanza angejiuliza kwa nini kuna vyakula halali na haramu.
Upande wa pombe imekatazwa kwa sababu inaleta umaskini kwa familia inaleta maradhi inaleta punguani inaleta watu wavivu na kama hayo.
So imekatazwa kwa sababu ya madhara yake kunywa kama pombe kwa mazoea.
Kuwemo pombe kwenye vyakula itakua haramu kama vitakua na madhara lakimi kama haina madhara sio haramu .hapa inachokstazwa ni kunywa pombe kama kilevi.
Nguruwe ni mchafu na ana virus zenye maradhi ndio maana tumekatazwa kula.Allah anatupenda hata adam alikatazwa kula kitu fulani kule peponi na alipo kataa kutii ndio leoo tupo huku duniani kukorogana
 
Habari ndugu zangu,

Napendwa kujuzwa kuhusu vyakula vinavyotambulika na sheria za kiislam, yaani HALAL FOODS.

Kuna food flavouring ambazo zinatengenezwaga kwa kutumia ethanol (solvent).Mfano wa flouring hiyo ni VANILLA EXTRACT.Vanilla extract is obtained after extraction of vanillin from vanilla beans by using ethyl alcohol e.i. ethanol.Na flavouring(Kionjo) hiki kinatumika kwenye Ice cream,baked products na bidhaa kadha wa kadha za maziwa,mfano yogurt n.k

Swali langu ni hili,je ni haramu kutumia kionjo hiki au products zilizo-flavoured na vanilla extracts? Na kisheria vanilla ina 35% ya ethanol.
Naomba msaada kwenu wakuu.

Muulize huyu Sheikh https://www.facebook.com/DrBilalPhilips
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom