kiukweli sipendi sana kubishana na mambo ya dini, ila huko nnapoelekea nnatamani sana niifahamu uislamu in deep, tena staki nimfahamu mtume muhamad bali nataka nifahamu wengine walioendeleza jahazi. Halafu, ni lini jamani mtarekodi filamu ya maisha ya mtume muhamad hapa ulimwenguni. Sabu natamani nijue the way alizaliwa na kukua alipoanza huduma yake ya kufundisha na kusafiri sehemu mbali mbali, maisha yake binafsi na hadi kifo chake. Au kama kuna kitabu ambacho kinaelezea maisha yake kama kipo please naomba mnipe jina lake nikenda book store kule town nikanunue. Nawasilisha
Kwa Waislam na Uislam kwa ujumla, siyo Muhammad(S.A.W) tu hata Nabii Issa Jesus(A.W) hairuhusiwi kuigizia picha zao, wala kuwaigizia