Msaada kwa simu iliyopotea au kuibiwa

Msaada kwa simu iliyopotea au kuibiwa

benjamini org

Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
41
Reaction score
6
Naombeni msaada kuhusu simu iliyoibiwa baada ya kupatikana ukitaka kuhakikisha kama ndo yenyewe unafanyaje! tofauti na ile njia ya ku backup photos kwa email kwani email haikumbuki mwenye nayo.
 
Duu chako mwenyewe kisha ushindwe kukitambua hata kwa alama rahisi za nje? Leave alone serial numbers?

Jr[emoji769]
 
Duu chako mwenyewe kisha ushindwe kukitambua hata kwa alama rahisi za nje? Leave alone serial numbers?

Jr[emoji769]
mkuu alama zote zipo nilihitaji tuu kama kuna udhibitisho mwingine ili utusaidiee
 
Xhomeka kwa compyuta then isome kama storage fanya data recovery
 
njia rahisi ni kuangalia imei, ila kama ulifanya modification kwa ku root pia unaweza angalia vitu ulivyomodify na hio root, ila hapa tuna assume aliiformat tu hakuiflash.

pia unaweza angalia serial no za nyuma ya simu, baadhi ya simu hazifanani.

hizo imei na serial no kama una box la simu inakuwa rahisi kuzi compare.
 
Back
Top Bottom