Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,738
- 12,148
Nenda chunya machimboni
Mbona umeweka hiyo ban steve?Kipi kinacho kusumbua zaidi em kuwa muwazi labda ukapata msaada.
Lakini kabla em kuwa muwazi kwanza tujue shida ni nini ?
Icon tu. Sio ban halisi.Mbona umeweka hiyo ban steve?
Hahhaah una vituko ujue😅Icon tu. Sio ban halisi.
Anyway wasije nishughulikia kweli ngoja nibadili 😄
Si unajua mod nao wamesha data wasije kufanya kweli 😂Hahhaah una vituko ujue😅
Watachangamkia fursa😃Si unajua mod nao wamesha data wasije kufanya kweli 😂