Msaada kwa Nokia 110.

Msaada kwa Nokia 110.

Makbel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
774
Reaction score
167
Wakuu nina Nokia 110 nina Application karibu zote za Internet. Kama Nokia Browser, Ebuddy, Nimbuzz na Operamin. Tatizo langu sina huduma ya Whatsapp. Je, inawezekana kuipata hiyo huduma na kuweza kuituma kwenye simu yangu?
 
Back
Top Bottom