Jaman wadau mara nyingi nimekuwa nikiota jino limeng'ooka...mara nyingine naota meno yote mdomoni hayapo... mfano mzuri ni mchana wa leo, nlipokua nimejipumzisha nimeota eti jino langu limetoka,,, eti damu nying sn zikatoka.. baada ya muda jino lingine likaanza kutikisika...nashtuka najikuta niko sawa...Lakin kinachonishangaza ni kuwa ndoto hii huwa naiota sn....Plz km ina maana yoyote naomben mawazo yenu....
Karibun......
Karibun......