Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,263
- 44,391
imei ni identity tu kwao tcra ndio inafaida ila kwako wewe mtumiaji kimatumizi haina faida.Ufake wa simu ni IMEI no ndio pekee inayoweza kukusaidia kujua simu na fake ama sio fake.hizo njia nyingine ni mara chache kujua ufake wa simu.
Na TCRA siku ikifika wata black list IMEI list(simu nyingi fake kama 90%)zina serial no( IMEI) moja.So ikiiblack list hiyo IMEI basi simu zaidi ya million 2 zinakuwa azishiki network.Kuna software za kubadilisha IMEI ila TCRA ikikukamata faini ni 30 million au jela miaka 10.
unafahamu taasisi ya GSMA inauza imei kihalali kabisa? hata hio simu yako ya kichina itakayofungiwa zipo njia za halali TCRA wakizipitisha utatoa kiasi kadhaa cha hela utalipia imei sahihi.
-upo uwezekano simu fake ikawa na imei sahihi
-upo uwezekano simu original ikawa na imei fake
wakati india wanafanya zoezi kama hili letu walikuwa na program inaitwa Genuine Imei Implant ambapo unapeleka simu yako ya kichina unapewa imei cheki zaidi hapa
How to get an IMEI number legally in India
lengo halisi la imei ni kutofautisha simu moja na nyengine, simu mbili zikiwa na imei moja halafu mmoja akafanya uhalifu utamkamata nani?