nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,541
- 8,272
Io code haijakubali kwangu na kwa rafiki angu apa mwenye original kabsa
Ukiweka hizo code inaleta hivyo
Io code haijakubali kwangu na kwa rafiki angu apa mwenye original kabsa
Nafikiri inategemea na version ya android system, izi zote apa n jelly bean 4.1.2![]()
Ukiweka hizo code inaleta hivyo
Haijalishi. Hiyo ni code mpya ya Samsung original zote mkuuNafikiri inategemea na version ya android system, izi zote apa n jelly bean 4.1.2
Naweza kuirudisha mkuu hebu naomba msaada wako nawezaje,
sasa sindo wamebadilisha imei mkuu,kilichofanyika baada either kuibiwa au walipoteza imei finally simu ikaandikiwa imei fake,ila still anauwezo pia wa kurudisha imei yake original
Heh!! mbona hatari sasa, Mdau yeyote mwenye samsung tafadhali atuangalizie io code kwenye simu yake. (*#0808#)Haijalishi. Hiyo ni code mpya ya Samsung original zote mkuu
Nikweli bhana. Ni kuanzia version ya kit katHeh!! mbona hatari sasa, Mdau yeyote mwenye samsung tafadhali atuangalizie io code kwenye simu yake. (*#0808#)
Sensa iko vizuri iko vizuri na nikiweka mkono ileta rangi ya green na inavibrate sasa nadhan nimepata jibu sahii nashukuru kwa utaalam wako
Yeah, nimejaribu na kwenye simu yenye lolipop glx A7 imekubali.Nikweli bhana. Ni kuanzia version ya kit kat
Vp kaka kuhusu hii yangu..ni Huawei P7-L00,mwanzon nlikuwa najua n single line ila baadae nimekuja kugundua kuwa ile sehemu ya sd card unaweza weka line ya pili ila hutokuwa na uwezo wa kuweka tena sd card,ila nikangalia IMEI ni moja tu..hii imekaaje nayo?kama una imei mbili ni sawa kama una nne si sawa. simu ya line mbili inakuwa na imei mbili tofauti
jaribu kueka line kote kote halafu cheki imeiVp kaka kuhusu hii yangu..ni Huawei P7-L00,mwanzon nlikuwa najua n single line ila baadae nimekuja kugundua kuwa ile sehemu ya sd card unaweza weka line ya pili ila hutokuwa na uwezo wa kuweka tena sd card,ila nikangalia IMEI ni moja tu..hii imekaaje nayo?
Iko poa mi imekubali vizur tuHeh!! mbona hatari sasa, Mdau yeyote mwenye samsung tafadhali atuangalizie io code kwenye simu yake. (*#0808#)
Yah..nimeweka na kuchek still inaonesha IMEI moja tujaribu kueka line kote kote halafu cheki imei
Nafikiri hukunipata.,
sasa sindo wamebadilisha imei mkuu,kilichofanyika baada either kuibiwa au walipoteza imei finally simu ikaandikiwa imei fake,ila still anauwezo pia wa kurudisha imei yake original
Hivi unafahamu kuwa simu ya ukweli (sio ya magumashi) au kwa lugha nyingine naweza sema simu za kufyatua.Ufake wa simu ni IMEI no ndio pekee inayoweza kukusaidia kujua simu na fake ama sio fake.hizo njia nyingine ni mara chache kujua ufake wa simu.
Na TCRA siku ikifika wata black list IMEI list(simu nyingi fake kama 90%)zina serial no( IMEI) moja.So ikiiblack list hiyo IMEI basi simu zaidi ya million 2 zinakuwa azishiki network.Kuna software za kubadilisha IMEI ila TCRA ikikukamata faini ni 30 million au jela miaka 10.
Nimekuwa fundi wa simu na kufundisha mafundi simu wengi tu na ni zaidi ya miaka kumi nadeal na simu.na soon ntaanza unda zangu ambazo sio fake!!.sio kweli hicho unachosema mkuuHivi unafahamu kuwa simu ya ukweli (sio ya magumashi) au kwa lugha nyingine naweza sema simu za kufyatua.
Narudia tena ili unielewe,
Hivi unafahamu ya kuwa simu ya ukweli itakapofungwa na ikaja kufunguliwa, ile IMEI number inabadilika?
Kama ulikuwa hufahamu, sasa ndio uelewe hivyo.
Kwahiyo simu ya ukweli itakapotiwa mikono, basi ujue na IMEI number itabadilika
Miaka kumi kuwa fundi, kufundisha mafundi simu, sio sababu ya mimi kukubaliana na wewe kitu ambacho nakifahamu, sio kuwa nabahatisha.Nimekuwa fundi wa simu na kufundisha mafundi simu wengi tu na ni zaidi ya miaka kumi nadeal na simu.na soon ntaanza unda zangu ambazo sio fake!!.sio kweli hicho unachosema mkuu
Sidhani kama imekuwa rooted ila nafikiri wame flash na kwa maelezo ya TCRA simu ikiflashiwa IMEI inabadilishwa hivyo automatically in fake. Mwenye simu yawezekana kauziwa na aliyetumia.Inawezekana hiyo simu ipo rooted. Hebu download app inaitwa root checker
Nimekuwa fundi wa simu na kufundisha mafundi simu wengi tu na ni zaidi ya miaka kumi nadeal na simu.na soon ntaanza unda zangu ambazo sio fake!!.sio kweli hicho unachosema mkuuHivi unafahamu kuwa simu ya ukweli (sio ya magumashi) au kwa lugha nyingine naweza sema simu za kufyatua.
Narudia tena ili unielewe,
Hivi unafahamu ya kuwa simu ya ukweli itakapofungwa na ikaja kufunguliwa, ile IMEI number inabadilika?
Kama ulikuwa hufahamu, sasa ndio uelewe hivyo.
Kwahiyo simu ya ukweli itakapotiwa mikono, basi ujue na IMEI number itabadilika
Miaka kumi kuwa fundi, kufundisha mafundi simu, sio sababu ya mimi kukubaliana na wewe kitu ambacho nakifahamu, sio kuwa nabahatisha.
Wewe unaweza ukawa fundi simu kwa muda wa miaka kumi, lakini bado ukawa uko nyuma kiteknolojia.
Na hii ya kubadilika kwa IMEI number iwapo simu itafunguliwa ni ya zamani sana, sasa nakushangaa unavyopingana na mimi.
Kumbuka mambo yanabadilika kila siku, sasa endelea na ubishi.
Vinginevyo uwe hukumuelewa muanzishaji uzi.
Ametaka kufahamu simu yake ya ukweli au mchina?