Msaada kwa hackers

Msaada kwa hackers

Kuna jamaa nilimtumia pesa kwa skrill anipe kitu flani na amekataa kunitumia
 
Wakuu

Nataka nijifinze u hacker so nianze na vitu gani ili nielewe ku hack kwa urahisi or program gani lazima nizifahamu kuhusu ili niwe hacker

Dhununi la kujifunza ni kuongeza maarifa tu kichwani mwangu
Hacking iko so wide!! Je unataka kuwa hacker wa websites? Network au softwares?

Popote utakapo chagua haya ni ya lazima

1. Ujue computer kwa ujumla

2. Ujue computer languages hasa python atleast na php na c++

3. Ujue sql

Hacking sio kitu rahisi inahitaji moyo na juhudi.
 
MKUU Upepo wa Pesa AMEELEZA KWA UFUPI NA VIZURI ZAIDI........NI LAZIMA UJUE KWANZA UNATAKAKUA HACKER YUPI/WANINI....................UKILISHALIJUA HILO NI CHECK PM NIKUPATIE VITABU BUREEE UWANZE MSULI KUMBUKA VITABU HIVYO HAVITO KUFUNDISHA HACKING NA HAKUNA SHULE INNAYO TOA IYO ELIMU,UTAKACHO KIPATA HAPA NI JINSI MAMBO YANAVYO ENDA KWA UNDANI ZAIDI NA KUJUA MAZAIFU YAKE MAANA HACKING KWA UPANDE WANGU HUWA NASEMA NI UBUNIFU NI SAWASAWA NA KUFUNDISHWA UFUNDI WA GARI NA LINAVYO FANYA KAZI KISHA UWAMBIWE FANYA KITU KIMOJA AU VIWILI ILI GARI LISITEMBEE KWA NUSU SAA IJAYO.........KILA LA HERI JUU YA HILO



NB;KUWA HACKER C KITU RAHISI HIVYO UVUMILIVU NA UBUNIFU UNAHITAJIKA.................
 
Lazma uende shule
scripting languages(html, css,javascipt )
C,C++,C#, matlab na kuna vi languge kama jquery, bootstrap ivi ni scripting languages
Lazma uzijue
 
Lazma uende shule
scripting languages(html, css,javascipt )
C,C++,C#, matlab na kuna vi languge kama jquery, bootstrap ivi ni scripting languages
Lazma uzijue
Correction:

Jquery na bootstrap sio languages ni framework na libraries.

Alafu hacker ajue bootstrap na jquery itamsaidia nini kwenye hacking? Nadhan backend ndio most important!!
 
Hacking ni sawa na mtu aliyemaliza mafunzo ya ukomandoo halafu akaamua kuwa jambazi

Ukisoma programming sio lazima uwe hacker na ukipitia mafunzo ya jeshi sio lazima uwe jambazi
 
Back
Top Bottom