Msaada kwa hackers

boyson onlye

JF-Expert Member
Sep 13, 2015
1,103
1,382
Wakuu

Nataka nijifinze u hacker so nianze na vitu gani ili nielewe ku hack kwa urahisi or program gani lazima nizifahamu kuhusu ili niwe hacker

Dhununi la kujifunza ni kuongeza maarifa tu kichwani mwangu
 
Python language ni muhimu sana pindi unapoingiza zile pl kwa ajili ya ku-bruteforce
Password kwa kutunia crackstation ambayo ni txt hapo utahitajika kuwa na ujuzi kwenye language ya Paython
So python ni language muhimu kwenye haya mambo ya udukuzi
 
Mkuu hii ni tofauti na computer language
 
Jifunze sql injection.....penetrations nyingi za webaite zinatumia sql injection ninvizuri ujifanyie penetration testing mwenyewe

This is for educational purpose only..I am not liable for any illegal actiona
 
Kwanza badili mtazamo..(uwe+)

Tengeneza vtual lab yako kwa kutumia vmware / virtual box etc. Kisha install mifumo/os tofautikwaajili ya kifanyia mazoezi

Kuna distribution moja ya linux inaitwa... Kali linux hii ukiipata ina tools nying sana.. Ni wewe kuzimaster.

Kuna online communities nyingi zinazotoa training na peer shairing katika haya maswala.

All the best
Ahsante mkuu
 
Ndugu zangu mbona mmeshindwa kunisaidia tatizo langu, kila nikimp mtu anakataa kunisaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom