mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,681
Msanii Godzilla anapitia kipindi kigumu sana baada ya kuachana na mpenzi wake Doreen.
Kwa sasa Zilla amekuwa haeleweki anaongea nini na muda mwingi amekuwa anaongea mwenyewe na au kujifungia ndani.
Ni dhahiri penzi la Doreen bado analiitaji na anapata mateso mazito sana kuwa na maisha bila Doreen.
Yeyote anaeweza msaidia huyu mnyamwezi atoe msaada haswa wa kisaikolojia. Kazi ya muziki imekuwa haiendi kwa kifupi amedata.
Note: Wanaume mapenzi hayana ubaunsa wala ubabe. Ukishikwa kubali umeshikwa la sivyo utapata shida sana.