Mongoiwe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 524
- 263
leo ni siku ya Pili, kila ninapofungua Email yangu na kuingia, nikianza kusoma tu mail mpya hata za zamani, ghafla inajifunga na kunipa ujumbe huu;
Sorry your session has expired,
Sign in Again
To protect your account, you need to comfirm your password priodically
Nimejaribu kubadiri Password lakini kila ninapoingia na kufungua baru hali ni hiyo hiyo, imefika mahari imekuwa kero maana ukifungua mail moja tu inagoma.
Naomba msaada jamani.