Msaada kwa anayeyajua haya matunda

Msaada kwa anayeyajua haya matunda

Phenome

Member
Joined
May 5, 2018
Posts
51
Reaction score
38
Naomba msaada kwa yoyote anayeyafahamu matunda haya na upatikanaj wake Tanzania

images.jpg
 
Matogo
Matoho

Nimewahi kuyaona Singida kwa wingi, pia Iringa yapo

decomm!
 
Mitoho ni wildfruit inaliwa kama big G


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom