Msaada kwa anayeijua vizuri Afrika Kusini

Msaada kwa anayeijua vizuri Afrika Kusini

Tafuta fani/ujuzi wowote ule uwe nao,kidogo utaenjoi life ya kule,kama huna fani utasugua sana
 
Mkuu wa south ni wabaguzi sn,,,hata uwe na vyeti gani kuajiriwa kwao ni ngumu mkuu,,labda usomee pale,,upate vyeti vyao,,,kazi za mitaani ni KUUZA HARAMU TU...hakuna cha zaidi,,,pia usalama ni mdogo sana,,,,south mwizi anakukaba mbele za watu na watu hawafanyi kitu.....ila nenda tu ukayaone mkuu
 
Kwani huko south hawalagi dagaa wa ziwa victoria tukawapelekea au vp?
 
Back
Top Bottom