mandinka Senior Member Joined Apr 21, 2014 Posts 186 Reaction score 38 Jan 31, 2015 #1 Kuna course ya industrial automation naitafuta muda mda mrefu.Kwa anayefahamu ni chuo gani Tanzania kinatoa hiyo course naomba anifahamishe.ahsanteni
Kuna course ya industrial automation naitafuta muda mda mrefu.Kwa anayefahamu ni chuo gani Tanzania kinatoa hiyo course naomba anifahamishe.ahsanteni
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,660 Reaction score 7,151 Jan 31, 2015 #2 Unataka soma diploma au certificates? DIT wanafunfisha short course.
mandinka Senior Member Joined Apr 21, 2014 Posts 186 Reaction score 38 Jan 31, 2015 Thread starter #3 Certificate mkuu nataka kusoma!ni kwa mda gani mkuu kwa cerficate?