Msaada kwa anayefahamu

Msaada kwa anayefahamu

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
473
Reaction score
297
Habari zenu wakuu,nilikua ninaomba msaada kama kuna yeyote mwenye uelewa na hili,ni kwamba nimenunua simu ya android aina ya huawei ideos u8150 lakini kila nikijaribu ku access internet inakataa na kuniambia not connected to the internet,naomba kama kuna anayefahamu jinsi ya kui connect anielekeze nijaribu au hata kama kuna anayejua information zozote kuhusu hili suala.
 
Subiri wataalamu wa thimu. Lakini jaribu setting>wireless & network>mobile networks>enable data. Hii ndio natumia kwa gallaxy inaweza fanya na kwako pia.
 
Asante mkuu,ngoja nijaribu
 
Settings>Network and Wireless>Mobile networks>Access point name>press "menu">select NEW APN>press name>type name of mobile operator e.g Airtel>press APN Type>type "default.

If successful or not, nijulishe
 
Dah!mkuu nashukuru sana mkuu (KWETU IRINGA) maana imekubali,nilishakata tamaa asante sana kwa kunisaidia, pamoja sana mkuu
 
Back
Top Bottom