Dr wa mifugo
soko lake la ajira ni kubwa; wengi wanaajiriwa na (1)serikali (serikali kuu na serikali za mitaa) kama maafisa mifugo, afisa utafiti wa mifugo (2) viwanda vya nyama na maziwa (food scientist and technologist), viwanda vya vyakula vya mifugo (Animal feed technologist), Mashirika ya umma na wakala wa serikali wanaohusika na usimamizi wa ubora na usalama wa vyakula kama TBS, iliyokuwa TFDA, Bodi ya nyama, bodi ya maziwa kama afisa udhibiti wa ubora, afisa viwango etc, wakufunzi wa mifugo katika vyuo mbalimbali vya mifugo etcVp upande wa ajira, ukizingatia familia zetu kujiajiri ni changamoto
NI KWELIHawa jamaa hawatibu labda vet
College of Animal Science Aquaculture and Range Management naskia bado wapo strictly Kama pale Crop ScienceTatizo la kozi hii kwa pale SUA ina waalimu wanoko sana na wenye roho mbaya! Hii inatoka moyoni mwangu kwa niliyoyashuhudia, nimesoma pale shahada ya kwanza na ya pili, kuna watu wabaya sana labda kwa kizazi hiki cha vijana waliopo!
Department.College of animal science aquaculture and range management naskia bado wapo strictly Kama pale crop science
Oh yeah asante kwa kunisahishaDepartment.
Kwa ushauri na mwongozo kuhusiana na kozi ya BSc Animal Science, na kozi nyingine zote zinazoshabihiana na hii pamoja na vyuo vinavyotoa kozi hii ,hali ya soko la ajira kwa kozi hii, pamoja na ushauri wowote wa masuala ya elimu na ajira , wasiliana na Fulgent Careers, 0769 524 022. Gharama yetu ni tsh 10,000 tu.Jaman wapendwa naombeni msaada mwenye uelewa na bachelor of animal science kuhusu ajira zake pia kujiajiri, natanguliza shukrani zangu
Bado haijawa University college, ni idara ndani ya university college ya AgricultureCollege of animal science aquaculture and range management naskia bado wapo strictly Kama pale crop science
Hivi mtu kumuelewesha tu ni mpaka alipie.. daahKwa ushauri na mwongozo kuhusiana na kozi ya BSc Animal Science, na kozi nyingine zote zinazoshabihiana na hii pamoja na vyuo vinavyotoa kozi hii ,hali ya soko la ajira kwa kozi hii, pamoja na ushauri wowote wa masuala ya elimu na ajira , wasiliana na Fulgent Careers, 0769 524 022. Gharama yetu ni tsh 10,000 tu.
Wee mzee acha hizo.Kwa ushauri na mwongozo kuhusiana na kozi ya BSc Animal Science, na kozi nyingine zote zinazoshabihiana na hii pamoja na vyuo vinavyotoa kozi hii ,hali ya soko la ajira kwa kozi hii, pamoja na ushauri wowote wa masuala ya elimu na ajira , wasiliana na Fulgent Careers, 0769 524 022. Gharama yetu ni tsh 10,000 tu.