Msaada kwa aliyeko Afrika Kusini Braamfontein Johannesburg

End street ya karbu na shoprite ,relini?
End ipo karibu unaelekea Elis park stadium kati pale kuna tax rank inayoelekea Mpumalanga na Durban mtaa Mkubwa unaokutana na End ni Commissioner Street sasa hivi mnaita Albertina Sesulu inayoelekea Airport au ukitaka kutoka nje ya Jozzi na kutafuta N1, N2 au Botswana...
 
Samahani kwa kuuliza, kwahiyo mmemtumia hela mpaka kiasi cha kukufilisini ndani ya siku tatu tu? Maana hiyo police report ni ya tarehe 29-3-18, ambayo ni siku tatu tu zilizopita.
Anyways kwa hapo alipo hatokosa msaada maana ni kama Tanzania ndogo tu jinsi kulivyojaa wabongo. Awe makini na madawa ya kulevya maana ndio shughuli kubwa ya wabongo huko, kuuza na kutumia.
yupo huko wiki ya pili hata kufika hapo Johannesburg ni mpunga toka bongo,..iyo tar ni tar ya aliyokwenda kituoni siyo tar aliyo ingia south
 
Mbona umeanza mapema sana kumuombea msaada? Ngoja kwanza kijana apambane, na kama alijiaminisha kua akitua tu south michongo yake inakaa poa shauri yake
hapo aliponiambia anaumwa ndio nimeona nyotanyota
 
Hakuna sehemu inayoitwa bramfontein huku

Pili mtumieni nauli ya basi apitie njia ya beite bridge Zimbabwe

Kuhusu passport aende ubalozi wa Tanzania huku sauzi nimesahau coordinates za ubalozi

Nb nauli ya basi kutoka jozi to Lusaka ni rand 800 mpk 850 apande mabasi yanapaki house number 9 nuget kwa wazambia

Ni msaada rahisi

Hakuna msaada zaidi ya huo huku dizonga otherwise asubiri mawili either awe mwizi au mla unga kwa dizonga yote yanawezekana
ndio nnachohofia ujuzi wake kuingia ktk madawa mana izi story nishazisoma sana humu
 
Mfanyie mpango arudi tuu pale kwa stika pagumu labda angekua Fundi Magari Wa aina yeyote angeweza kuishi...
 
ilitakiwa afike Capetown mkuu sema kasogea had hapo...Lengo ni kufanyia kaz Capetown
 
pole jamani, namuonea huruma anko wangu alitokomea huko miaka 20 plus now tushamsahau
 
Back
Top Bottom