Msaada: Nitumie app gani kutengenezea video za kuweka Youtube kwa ajili ya chaneli yangu?

bunyebunye

JF-Expert Member
Apr 12, 2013
501
1,000
Habari wakuu, poleni na majukumu.

Kama kichwa cha post hii kinavyosema, naomba wataalamu munifahamishe Android application ninayoweza kutumia kuedit video clips au kutengeneza video kupitia picha ili niziweke kwenye chaneli yangu ya youtube.

Natanguliza shukrani na karibuni kwa michango yenu.

Bunyebunye.
 
Forgotten

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
655
1,000
Tumia;
1. Power Director
2. Filmorago

Ukipata cracked version ni bora zaidi utapata features zote hapo kwenye PowerDirector itakubidi uwe na app kama PixelLab ya kutengenezea maneno then unayaingiza kwenye video kama picha kwenye format ya PNG ila kwenye Filmorago unaweza pia kutumia hii njia au ukatumia maneno na fonts za app husika. Kutumia simu ni bora sana tu hapo mwanzo nlikua natumia simu yangu aina ya Tecno P5+ then nikahamia kwenye Tecno W5 Lite na sasa hv natumia PC uzuri wa PC vitu ni vingi ila kwenye simu inabidi uwe creative sana kuna vitu havipo ila unaweza kubuni na ukafanya kitu unaweza kuchek YouTube yangu video nilizoedit kwa simu Nelson Nate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkorea

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
2,812
2,000
Video ambayo ina mb chache with high quality

Mmoja atoe elimu apo
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,040
2,000
Video ambayo ina mb chache with high quality

Mmoja atoe elimu apo
Kwenye video Kuna vitu vinaitwa codecs, kutokana na codecs zilizotumika ku encode video, inaweza kuwa na mb chache na quality kubwa.

Kwa YouTube codecs zinazotumiwa Ni Kama
1. X264
2.vp8
3.vp9
4. Av1 (Ina moja sio Avi)

Kama list ilivyo x264 na vp8 Ni codecs za zamani na video zake quality na mb Ni Kama zinafanana,

vp9 Ni codecs mpya zinatumia mb kidogo zaidi kwa quality ile ile. Mpinzani wa hizi codecs Ni HEVC (x265) lakini hizi hazitumiki YouTube.

Av1 Ni ya kisasa zaidi na inatumia mb kidogo kupita maelezo kwa quality kubwa Ila inahitaji ma super computer ku encode, so far hizi computer zetu za mitaani hazifai, Ni makampuni makubwa tu Kama YouTube na Netflix ndio wanaweza kuprovide contents zenye hii quality.

Ila wewe Kama vlogger usiwe na wasiwasi tengeneza tu video ya High quality then eka YouTube wenyewe Google wataiconvert kwenye hizo codecs na kuigawanya quality mbalimbali.

So far Av1 ipo exclusive kwenye Chanell kubwa kubwa Kama vevo, Chanell za mtaani itafuatia baadae.
 
Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,399
2,000
Kwanza hakikisha umesajiliwa na TCRA usije ukajipata matatizoni ukatakiwa kulipa faini ya Tsh milioni tano au kwenda jela mwaka mmoja!
 
Kevoo Stopa

New Member
May 26, 2020
3
20
Kwenye video Kuna vitu vinaitwa codecs, kutokana na codecs zilizotumika ku encode video, inaweza kuwa na mb chache na quality kubwa.

Kwa YouTube codecs zinazotumiwa Ni Kama
1. X264
2.vp8
3.vp9
4. Av1 (Ina moja sio Avi)

Kama list ilivyo x264 na vp8 Ni codecs za zamani na video zake quality na mb Ni Kama zinafanana,

vp9 Ni codecs mpya zinatumia mb kidogo zaidi kwa quality ile ile. Mpinzani wa hizi codecs Ni HEVC (x265) lakini hizi hazitumiki YouTube.

Av1 Ni ya kisasa zaidi na inatumia mb kidogo kupita maelezo kwa quality kubwa Ila inahitaji ma super computer ku encode, so far hizi computer zetu za mitaani hazifai, Ni makampuni makubwa tu Kama YouTube na Netflix ndio wanaweza kuprovide contents zenye hii quality.

Ila wewe Kama vlogger usiwe na wasiwasi tengeneza tu video ya High quality then eka YouTube wenyewe Google wataiconvert kwenye hizo codecs na kuigawanya quality mbalimbali.

So far Av1 ipo exclusive kwenye Chanell kubwa kubwa Kama vevo, Chanell za mtaani itafuatia baadae.
Mkuu mm nataka unielekeze jinsi ya kudownload adobe premiere kwakutumia simu alafu niweke kwenye pc
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom