NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 590
Nijuavyo mimi hakuna njia ambayo mtu atakupigia simu asikupate zaidi ya ku switch off au offline mode, zaidi ya hapo njia zote lazima mtu akupate kwa sekunde kadhaa kisha simu ita auto reject hiyo call, tuwaombe Voda, TiGo, Airtell, Zantel na TTCL kama wanaweza sitisha No flani isikupate lakini kwa njia hizi tunazo peana lazima mtu ajue umemkatia simu,,
NB:- Dawa ya deni ni kulipa sio kukimbia.
NB:- Dawa ya deni ni kulipa sio kukimbia.