Msaada kuzuia namba ya mtu asinipate hewani

I AM WHO I AM

Member
Oct 18, 2012
49
35
Ndugu waheshimiwa, naomba procedure za phone setting ili kama ninahitaji privacy wa kutopokea simu ya mtu.
Binafsi sipendi kundangaya ila nahitaji akinipigia akute sipo hewani.
Natumia Android TECNO
I SUBMIT
 
ndugu waheshimiwa, naomba procedure za phone setting ili kama ninahitaji privacy wa kutopokea simu ya mtu.
Binafsi sipendi kundangaya ila nahitaji akinipigia akute sipo hewani.
Natumia android tecno
i submit

ah ah ah, umenichekesha wewe ati una android tecno? Ndo maana unapata shida, ingekuwa samsung, simply ungewa outoreject, upo apo
 
Nenda ktk call setting kisha ingia ktk call forward then utakuta kuna neno always forward bonyeza ok kisha itakupa sehem ya kuingiza namba ingiza hizi +2387 bonyeza ok itakua poa.hii hatakupata mtu ila ww utaweza kupiga cm
 
Mimi natumia Blackberry 9700 nataka watu wawili wasinipate kabisa,nifanyeje wakuu?Maana wasumbufu sana!!Ahsanteni

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hiyo namba fanya kama unapiga ili iwe ktk dialed call then kata.then nenda ktk kitufe cha kupiga utakuta namba iyo nenda kwenye option then add to blacklist ukimaliza hapo nenda kwenye call setting then advance setting then blacklist then reject number weka on hapo utakuwa unawaongeza wote wanaokudai mkuu
 
Ndugu waheshimiwa, naomba procedure za phone setting ili kama ninahitaji privacy wa kutopokea simu ya mtu.
Binafsi sipendi kundangaya ila nahitaji akinipigia akute sipo hewani.
Natumia Android TECNO
I SUBMIT

tecno fanya haya,..nenda kisehemu cha call ie call center then call settings...then nenda kwenye blacklist then kwenye hiyo blacklist utaweka namba ambazo utaziblock...maelezo haya ni kwa tecno pekee
 
Hiyo namba fanya kama unapiga ili iwe ktk dialed call then kata.then nenda ktk kitufe cha kupiga utakuta namba iyo nenda kwenye option then add to blacklist ukimaliza hapo nenda kwenye call setting then advance setting then blacklist then reject number weka on hapo utakuwa unawaongeza wote wanaokudai mkuu

mkuu vp hayo maujanja kwa nokia unafanyaje?
 
Ndugu waheshimiwa, naomba procedure za phone setting ili kama ninahitaji privacy wa kutopokea simu ya mtu.
Binafsi sipendi kundangaya ila nahitaji akinipigia akute sipo hewani.
Natumia Android TECNO
I SUBMIT

ingia kwenye 'google market' download 'call black list' kisha iweke hiyo namba kwenye hyo application hapo hautoweza kupata simu zake wala sms zake..
 
Hiyo namba fanya kama unapiga ili iwe ktk dialed call then kata.then nenda ktk kitufe cha kupiga utakuta namba iyo nenda kwenye option then add to blacklist ukimaliza hapo nenda kwenye call setting then advance setting then blacklist then reject number weka on hapo utakuwa unawaongeza wote wanaokudai mkuu
lakini mkuu kwa kuiadd ktk blacklist wakipiga kule itakuwa inaripo busy so mtu ni rahisi kujua kwamba kafanyiziwa
 
Back
Top Bottom