Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,308
- 1,422
Hamjambo watu wa jukwaa hili?
Naombeni msaada mnielekeze hivi ni app gani inayoweza kuzuia matangazo ya biashara yanayokuja yenyewe kwenye smartphone yangu.
Yaani yanakera sana mara ingine unakuwa una soma kitu serious mara pap hilo limetokea linaziba screen nzima kuliondoa mpaka uclick x.
Naomba mnikomboe kutoka katika adha hii.
Wataalamu najua mko wengi.