Msaada kuupgrade android os

Msaada kuupgrade android os

setting then about then software update jaribu hio kwanza
Mkuu mimi natumia tecno c8,nasikia kuna jinsi ya kuiupgrade kutoka lollipop kwenda mashamallow!........ Please naomba nipe steps na procedure za kuupgrade mkuu!
 
Kuna kitu kingine mkuu kwenye download mode imeandikwa sm g900p kwenye setting ya simu imeandikwa sm g900f hili haliwezi kua tatizo
Kwenye simu huo ni ujanja tu wame rename ili simu ionekane ni international version ambayo ndio g900f ..lakin ukweli hiyo ni g900p,ambayo ni sprint version..na hiyo firmware nlokupa ndio ya simu yako .
 
Nimekuelewa mkuu
 
5d6ce108e40e2dfbced839ca0b227ddd.jpg

Unamaanisha kama hivi
 
Ukiangalia software update unapewa ujumbe gan?
Screenshot_2017-03-19-21-47-44.png

Inakuwa inaonesha kwamba update inakuwepo kwenye CDMA mode kwa sasa natumia line za GSM kitu ambacho sijaelewa ni kama simu inatumia both GSM & CDMA na pia CDM mode haifanyi Nazi through the existing GSM Chip inserted.
 
Kwenye simu huo ni ujanja tu wame rename ili simu ionekane ni international version ambayo ndio g900f ..lakin ukweli hiyo ni g900p,ambayo ni sprint version..na hiyo firmware nlokupa ndio ya simu yako .
Mkuu nisaidie, Mimi natumia Samsung Galaxy S4....nawezaje ku-upgrade kutoka hii android version 5.0.1 kwenda ya juu.
 
upo android 4.4 unataka kwenda 6. bila kupitia lollipop? unatakia kukimbia wakati hujatembea bado?
 
Inaniambia system is updated mkuu msaada njia nyingine tafadhali
Kama unajibiwa hivyo ina maana device yako haijapokea version au firmware mpya.

Angalizo..sio simu zote zinaweza kuwa upgraded kuwa ktk latest model.
Baadhi huishia ktk matoleo ya nyuma tu.
Kama kitkat, au Jelly Bean nk.
Hilo nina uhakika nalo sana
 
Mkuu umedhibitisha hicho kitu
 
Back
Top Bottom