Ni sm g900p mkuuZima simu kisha bonyeza batan ya kupunguza saut usiachie kisha home batan nayo usiachie alaf power batan..wait simu itawaka utaona robot ya kijan ya android kisha press volume ul button kuendelea kweny download mode sasa hapo utaona model ya simu yako .
Mkuu huawei Y360 U82(Y3) kwanini inaandika internal storage full wakati nimedownload mafile machache sana na nyimbo 4 tu tena zenye mb chache.Msaada please nini tatizo?Zima simu kisha bonyeza batan ya kupunguza saut usiachie kisha home batan nayo usiachie alaf power batan..wait simu itawaka utaona robot ya kijan ya android kisha press volume ul button kuendelea kweny download mode sasa hapo utaona model ya simu yako .
Chief ebu nisaidie links na maelezo ya ku update sony xperia z1 ya docomo ukiwa nje ya japansetting then about then software update jaribu hio kwanza
Confirm model yako kwa kutumia download mod kama jamaa nlivyomulekezaNa mm yangu note 3 n 900 ina android ya 5 bado
Internal memory yako ni ndogo ..weka memory card na uchague sd card as default memoryMkuu huawei Y360 U82(Y3) kwanini inaandika internal storage full wakati nimedownload mafile machache sana na nyimbo 4 tu tena zenye mb chache.Msaada please nini tatizo?
itabidi uiflash firmware yake manual, ila itabidi utaje model no kwanzaChief ebu nisaidie links na maelezo ya ku update sony xperia z1 ya docomo ukiwa nje ya japan
Yaa ukiwa na pc ndo itakua poaAsante mkuu ila lazima niwe na pc?
Model: SO-01FHaina model hyo simu?
Ukiangalia software update unapewa ujumbe gan?Mie ninayo HTC one max ya Verizon (lvw 6600) haiuldate kwenda version za juu ipo V4.4
Simu ina version gani kwa sasaModel: SO-01F
4.4.2 OTA inakubari ukiwa japan na unatumia mtandao wa docomo tuSimu ina version gani kwa sasa
Okey...sasa kwanini usitumie vpn una connect japan kisha ukafanya ota update..ikigoma basi ngoja nikuchekie firmware uflash manually4.4.2 OTA inakubari ukiwa japan na unatumia mtandao wa docomo tu
Poa mkuu lakin hata nikionekana niko japan lazima nitumie lain ya docomoOkey...sasa kwanini usitumie vpn una connect japan kisha ukafanya ota update..ikigoma basi ngoja nikuchekie firmware uflash manually