Msaada kuupgrade android os

QUALIFIED

JF-Expert Member
Jun 13, 2012
773
118
Habari wakuu
Nina samsung s5 sm g900f ina android 4.4 bado nataka kuupgrade kwenda android 6.0 naomba msaada jinsi ya kuupgrade kwa anaefahamu tafadhali
 
Kwanza hakikisha ni g900f kwel? Ingia download mode kisha angalia model inasomaje

Baada ya kujua ni version husika bas tutakakupa firmware ya android 6 utaflash manually
 
Mkuu sorry nimevamia uzi wa mtu....yangu ni note 3 n9006....unayo android 6 yake?
 
Kwanza hakikisha ni g900f kwel? Ingia download mode kisha angalia model inasomaje

Baada ya kujua ni version husika bas tutakakupa firmware ya android 6 utaflash manually
Me version yang ni 5:1 lollipop na simu nisha root unaweza nipa msaada nikapata version ya 6 mashllow??
 
Mm ninachojua kuapgrade software ya simu inaweka application sawa ili iendeke kupiga kazi, software inakuja na simu ili kuwezesha kuweka application inayoendana na simu, kama nitakuwa sinauelewa zaidi mnisamehe mnielekeze na mm ila application ndounaweza kuaapgrade kutoka vision moja kwenda nyingine
 
Kwanza hakikisha ni g900f kwel? Ingia download mode kisha angalia model inasomaje

Baada ya kujua ni version husika bas tutakakupa firmware ya android 6 utaflash manually
Ni g900f mkuu naomba unisaidie hiyo firmware ya android 6 mkuu
 
Download mode naipataje mkuu
Zima simu kisha bonyeza batan ya kupunguza saut usiachie kisha home batan nayo usiachie alaf power batan..wait simu itawaka utaona robot ya kijan ya android kisha press volume ul button kuendelea kweny download mode sasa hapo utaona model ya simu yako .
 
Asante mkuu ngoja nihakikishe nisije changanya mafile
 
Back
Top Bottom