Usijichukulie sheria mkononi plzSiku nimkamate mwiz ndan kwangu nitachimba shimo namfukia mzima mzima...
CCTV camera hazisaidii sana maana wezi wanajiandaa na kuficha sura zao. Hata electric fence kuna namna watu wanapita bila kuzigusa.Mimi nataka vile vikamera vidogo maana wanakijiji wamenigeuza mimi mfugaji wao .
Hii kama Hatari ZaidiMadirisha yote unganisha na Umeme
Pia jitahidi kufuga mbwa ili awe anakuamsha
Madirisha ukiunganisha na Umeme uwe na kumbukumbu maana wtoto wetu tunawajua walivyo
Pia pole sana
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
kama nifanyavyo ?Usijichukulie sheria mkononi plz
Yeahkama nifanyavyo ?
Mkuu wapi huko.CCTV camera hazisaidii sana maana wezi wanajiandaa na kuficha sura zao. Hata electric fence kuna namna watu wanapita bila kuzigusa...
Huu wizi umerudi kwa kasi, last week walibeba nchi 70 kwangu nakurupuka kuuliza uliza na jirani yangu nae kapigwa usiku huo huo. Sijui wanatumia dawa gani washenzi hawa.Habari za leo wanajamvi?
Naleta kwenu mada hii nikiwa na majonzi baada ya leo alfajiri kupigwa flat yangu Hisense 55inch.
Wezi wamefungua lock za alminium window na kupindisha nondo kisha wakazama ndani na kufanya yao.Kiukweli hii hali inaumiza sana..Naombeni ushauri wa security gani ya kuweka kuwazuia hawa watu.