Mkenye Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 218
- 402
Ufa umetokea kabla au baada ya kupashika hizo grill? Kama umetokea baada, inawezekana ikawa imetokea wakati wanatindua matundu ya kupashikia masikio ya dirishaHuo ufa hapo kwenye dirisha unasababishwa na nini na ni ipi njia sahihi ya kujenga ili kuzuia nyufa za aina hiyo kwenye dirisha