Msaada kutoka SUA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kutoka SUA

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by cardozo, Sep 14, 2012.

 1. c

  cardozo Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I'm new member in dis forum, nimekua admitted SUA bt til now cjuh nianzie wap? Msaada wenu plz wana jamii.
   
 2. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Hongera kwa kuchaguliwa SUA tukakuwa pamoja kaka..chuo wanafungua tarehe 8 mwez wa 10 and ukitaka kupata admission letter just tembelea website YAO utaona kila kitu
   
 3. c

  cardozo Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poa poa kaka, 2takua pa1
   
 4. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  xana tu !! Afu nenda kwenye ule uzi mwingine ulio u post kuna cost fulani nimekuwekea
   
 5. K

  King Kalu G Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jama hata kdogo m2tajie bei za msosi il 2anze kjipanga hela ya kja naya au hata per day kwa mlo wa kawaida inacost sh ngap
   
 6. m

  mossad Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana kwa kujiandaa na kama una uwezo nenda na senti za kutosha kidogo, nakumbuka miaka ile tulikuwa tunalipwa per day 2,500/= na tulipofika boom likawa halijatema, watu wakaishiwa hela kabisa baada ya wiki moja tu ndipo ukaanza mgomo wa hatari tukafukuzwa chuo kizima. Bei ya msosi haipo constant, kuna sehemu zipo juu bei na kwingine bei zipo fair. Wakati ule tulikuwa tunawatumia wadada wa kutupikia a.k.a 'Mugro' yaani tunachanga hela watu kadhaa halafu tunapikiwa, tukitoka class tunakuta msosi tayari kidogo ilikuwa inatusaidia kusevu. Mugro waliwasaidia sana wanafunzi coz gharama za kwenda kutafuta mirupo zilikuwa minimal huduma walikuwawanatoa wenyewe pia ila kwa ss hv nilisikia hawaruhusu Mugro..............................Hongereni na nawatakia masomo mema vijana.
   
 7. K

  King Kalu G Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 8. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  jiandae kuja kusoma book la ukweli ila maisha ni mazuri boom lina toka haraka kama uko crdb
   
 9. K

  King Kalu G Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cku kama haziend mnanitamanisha
   
Loading...