Msaada kutoka kwa wanaojua

Msaada kutoka kwa wanaojua

Nadhani hizi khabari si za ukweli kwanza kwa tafakuri yangu pili hata wadau wengi wameonyeshwa kutokuikubali hadithi yako kwa kiwango cha juu.Namna matukio yalivyojipanga unahitaji ushawishi mkubwa haiingii akilini ki mila wala dasturi.

Watu wale wote ni nudist club members. Wao kukaa uchi si tabu. Tatizo langu ninaomba kuuliza wanaojua mila za Namibia, ni kweli mtu akimpanda mwana familia anatembea na ukoo mzima hadi vibibi kwa kigezo cha kumjaribu kama atamfaaa mtu wao? Hzizi ni mila ama uchawi? Hawa jf wengi wanaweza wakatae lakini hawana haki ya kukanusha ukweli uliopo kwa sababu mimi ndiye ninavithibitisho kwa kuw amwanzoni sikutaka kuamini.

Kama hapa jf hawajui, ni vizuri mtu kusema hajua ama kutoa mawazo yake badala ya ku nullify everything as if yeye ni Omnipresent Anayekuwepo kila mahala na matuko yote anayashuhudia. Mnaoshindwa kujadili hoja na kuanza kusema si ya kweli kwa kuwa ufahamu wenu hauifiki kulem mnanisikitisha.

Sasa ninawasiliana na rafiki zangu wlaioko Namibia ili wanieleze. Nitawapa taarifa. Ila mimi hadi hapa sikubaliani kama ni mila. Na kama ni mila basi ni mila potofu kuliko zote duniani na zinatakiwa zipigwa vita kimataifa. Ninachokiona mimi ni familia ya michawi tu na mishirikina inafanya zinaa kama ibada za kichawi. Lakini nitathibitisha kutoka Namibia.
 
Kiswahili huwa tunamwita wa kuanikwa umenikumbusha mbali kuna waqt hata kumtoa nje inakuwa mbinde inabidi bati ling'olewe ndo mawasiliano yanakuwapo na jua.Sasa kama chuma hiki kimefikia huko ni hatari.

Ningekuwa nakufahamu ningekutumia ushahdi wa haya mambo ndipo ungeacha kung'ng'ani pale upeo wako unapoishia. Pengine ungekaa kando ukasubir wanaojua watoe mawazo. Hii ni habari y akweli!.
 
Back
Top Bottom