Msaada kutoka kwa wanaojua

Msaada kutoka kwa wanaojua

Mzee kweli we Mzee wa kisasa unajua hadi game eti unasema akapiga game.....Anyway kwani huyo rafiki yako yeye ana maamuzi gani kwa hilo alilokutana nalo?

Hayo mambo ya game, sisi tulikuwa na majina yake zamani. Sasa hapa ninyi naona mnaita game, nami ninaona niseme lugha yenu ili muelewe ninasemaje.

Huyo kijana wangu yeye anatafuta msichana wa rangi yetu. Sasa anaambiwa ndiyo taratibu ya Africa. Ninamuwliza hao waafrika wa wapi? Anasema Namibia.

Maamuzi yake yanategemea ushauri nitakaompa na aangalie kama anaweza kubadilika maisha yake yote kufuata huo uafirika wa hilo genge.

Je haya mambo kweli yako Africa na Namibia? Ni mambo yako hapa duniani ama amekutana na syndicate la wachawi wakuu?
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] NAPITA
 
Haya mambo mjukuu yako kweli Africa? Hii familia inakuwaje kuanzia bibi watoto na wajukuu wako hawana wanaume na wanchangia huyo anayejiingiza kwa mmoja wao? Hii ni mila halisi ama ni uchawi? Wewe Malafyale ungeoa kwenye hiyo nyumba? Halafu wote hawa walishaondoka Namibia wako kule majuu.

Kama ana pata utamu waje hata kijiji kizima kudadeki
 
Ninyi wajukuu zangu wa kisasa. Haya mambo umeshawhai kuyasikia hata kwa adui yako yeyote tangu upate ufahamu?
 
Haya mambo mjukuu yako kweli Africa? Hii familia inakuwaje kuanzia bibi watoto na wajukuu wako hawana wanaume na wanchangia huyo anayejiingiza kwa mmoja wao? Hii ni mila halisi ama ni uchawi? Wewe Malafyale ungeoa kwenye hiyo nyumba? Halafu wote hawa walishaondoka Namibia wako kule majuu.
Mm mwafrika siwesi oa nyumba kama hiyo!Anyway tuna mila tofauti sana sababu Black America sex sio big deal kabisa na hata kiwachanganya mama na mtoto kawaida tu

Hata baba na mtoto kupiga demu mmoja wenzetu hawana noma
 
Hawa ni wanamibia sasa. Huu uafrika wa hivi wameutoa wapi? Ni huko Namibia ama ni umswati mwingine unaanzishwa na walowezi?
 
Mtu akizeeka anarudi utoto.

Huenda uko sahihi kwamba nimezeeka sasa narudi utoto. Mtoto akiuliza kwa mtu mzima makini hatukanwi ila hueleweshwa. Sasa wewe mtu mzima, unaweza kuniambia mimi niliyerudi utoto kwamba mambo haya ni ya kawaida?
 
Hii siyo hadith mjukuu. Mwenizyo akinyolewa wewe anza kutia maji. Haya kama kweli ndiyo maadili ya Nambia, karibu yatafika bongo. Utafanya nini? Lakini wanaofahamu tamaduni za Wanamibia ni kweli wako hivi au ni lifamilia la wachawi malaya tu? Naomba jibu kwa anayefahamu.

Tena hadithi ya kusadikika
 
Huenda uko sahihi kwamba nimezeeka sasa narudi utoto. Mtoto akiuliza kwa mtu mzima makini hatukanwi ila hueleweshwa. Sasa wewe mtu mzima, unaweza kuniambia mimi niliyerudi utoto kwamba mambo haya ni ya kawaida?
Yaah toka uwe kijana mpaka umeupata umri wako ambapo unadhani jf hakuna mkongwe kama weye hujapata kusikia khabari mpaka alipokueleza rafiki yako.
Kifupi umeona comments nyingi humu zikitanabahisha kuwa khabari yako ni chai ilokosa viungo au paukwa pakawa yaani ukweli ni mdogo sana penye hadithi yako.
 
Hii siyo hadith mjukuu. Mwenizyo akinyolewa wewe anza kutia maji. Haya kama kweli ndiyo maadili ya Nambia, karibu yatafika bongo. Utafanya nini? Lakini wanaofahamu tamaduni za Wanamibia ni kweli wako hivi au ni lifamilia la wachawi malaya tu? Naomba jibu kwa anayefahamu.

Ina wezekana umri ukawa umeenda lakini mimi kuwa mjukuu wako hapana!!!!!

Nafikiri itakuwa inahusiana na mambo ya kishirikana,mwafrika ni mwafrika tu
 
Yaah toka uwe kijana mpaka umeupata umri wako ambapo unadhani jf hakuna mkongwe kama weye hujapata kusikia khabari mpaka alipokueleza rafiki yako.
Kifupi umeona comments nyingi humu zikitanabahisha kuwa khabari yako ni chai ilokosa viungo au paukwa pakawa yaani ukweli ni mdogo sana penye hadithi yako.

Unaweza kuniambia ni kwa nini unadoubt kuwa si ya kweli? Ni vizuri kukubali mengine mapya usiyoyajua badala ya kuishi kwenye wigo wa uliyonayo tu. Kanuni haziruhusu ningeweka picha. Kwa umri wangu hapa sinaga paukwa wala mbwembe za kunywea kahawa. Habari hii ni ya kweli na ndiyo sababu imenitatiza nikaamua kuja kuulizia hapa. Hilo la ajabu ndilo limenifanya kutafuta taarifa kwa wanaojua habari za wanamibia au taarifa sahihi juu ya maisha kama haya hapa duniani.

Mimi na uzee wangu sikuwahi hata kuyafikiria kama yapo.

Kwa nini unadhani kuwa si habari ya kweli?
 
Uwongo ukizidi hata haunogi

Nimeamini hapa watu hawapendi kuumiza kichwa kwa mambo wasiyoyajua. Unawezaje kusema ni uwongo wakati aliyeandika anasisitiza ni habari ya kweli? Kwa nini usione kama ni kweli hata kama ni kwa kufunga macho na ukachambua kwa mtazamo kwamba ni kweli?
 
Unaweza kuniambia ni kwa nini unadoubt kuwa si ya kweli? Ni vizuri kukubali mengine mapya usiyoyajua badala ya kuishi kwenye wigo wa uliyonayo tu. Kanuni haziruhusu ningeweka picha. Kwa umri wangu hapa sinaga paukwa wala mbwembe za kunywea kahawa. Habari hii ni ya kweli na ndiyo sababu imenitatiza nikaamua kuja kuulizia hapa. Hilo la ajabu ndilo limenifanya kutafuta taarifa kwa wanaojua habari za wanamibia au taarifa sahihi juu ya maisha kama haya hapa duniani.

Mimi na uzee wangu sikuwahi hata kuyafikiria kama yapo.

Kwa nini unadhani kuwa si habari ya kweli?
Nadhani hizi khabari si za ukweli kwanza kwa tafakuri yangu pili hata wadau wengi wameonyeshwa kutokuikubali hadithi yako kwa kiwango cha juu.Namna matukio yalivyojipanga unahitaji ushawishi mkubwa haiingii akilini ki mila wala dasturi.
 
Huyu nadhani ameshafika stage ya kutolewa nje asubuhi aote jua baadae anaingizwa ndani anasaidiwa kuandika na kilembwe chake ila mtoa mawazo ni yeye
Kiswahili huwa tunamwita wa kuanikwa umenikumbusha mbali kuna waqt hata kumtoa nje inakuwa mbinde inabidi bati ling'olewe ndo mawasiliano yanakuwapo na jua.Sasa kama chuma hiki kimefikia huko ni hatari.
 
Back
Top Bottom