Msaada ; Kutengeneza conversation fake

Msaada ; Kutengeneza conversation fake

Au kama unayo whatsapp ambayo unatumia unaweza ku download whatsapp GB au whatsapp + katika browser then ukajiunga kwa namba ya huyo unaetaka kumtupia mzigo yaani hapo uta Tunis whatsapp 2 bila kutumia app ya paraller spece
 
Kama hivi
5a5703bf803c7603d028f25f0be8241f.jpg
 
Kwa ajili ya elimu tu naomba Msaada wa namna ya kutengeneza majadiliano/ conversation hasa ya whatsapp . kama kuna app au namna yoyote ile ya kufanya hivyo naomba Msaada

NAWASILISHA
Fake text playstore
 
software nzuri ni YAZZY Aisee utafurah thank me later
Kwa ajili ya elimu tu naomba Msaada wa namna ya kutengeneza majadiliano/ conversation hasa ya whatsapp . kama kuna app au namna yoyote ile ya kufanya hivyo naomba Msaada

NAWASILISHA
i
 
hayo ya simu mbili ni gharama tu zisizo za lazima
 
Tafuta Gb whatsapp na WhatsApp ya kawaida... Gb whatsaapp tumia namba niyinge afu isevu jina unalotaka ...afu hiyo og whasapp tumia namba nyingine tena.... Alafu jitext kene ile gb wasap....then reply...jitext.....reply....jitext...reply....jitext....reply....jitext...reply....jitext...replay
...then reply...jitext.....reply....jitext...reply....jitext....reply....jitext...reply....jitext...replay

Finally utaon bonge la convo
 
Unataka kutengeneza 'ushahidi feki' au nini mkuu? Kama unataka kumpiga chini demu si umwambie tu umemkataa badala ya process zo-o-te hizo?
 
Tafuta Gb whatsapp na WhatsApp ya kawaida... Gb whatsaapp tumia namba niyinge afu isevu jina unalotaka ...afu hiyo og whasapp tumia namba nyingine tena.... Alafu jitext kene ile gb wasap....then reply...jitext.....reply....jitext...reply....jitext....reply....jitext...reply....jitext...replay
...then reply...jitext.....reply....jitext...reply....jitext....reply....jitext...reply....jitext...replay
...then reply...jitext.....reply....jitext...reply....jitext....reply....jitext...reply....jitext...replay
...then reply...jitext.....reply....jitext...reply....jitext....reply....jitext...reply....jitext...replay
...then reply...jitext.....reply....jitext...reply....jitext....reply....jitext...reply....jitext...replay
...then reply...jitext.....reply....jitext...reply....jitext....reply....jitext...reply....jitext...replay
...then reply...jitext.....reply....jitext...reply....jitext....reply....jitext...reply....jitext...replay
...then reply...jitext.....reply....jitext...reply....jitext....reply....jitext...reply....jitext...replay
...then reply...jitext.....reply....jitext...reply....jitext....reply....jitext...reply....jitext...replay
...then reply...jitext.....reply....jitext...reply....jitext....reply....jitext...reply....jitext...replay

Finally utaon bonge la convo
sawa
 
kanunue line mbili uzisave majina unayotka uziregiste whatsup ungekuwa mjanja kidogo hata line moja ingetosha ila kwa ugeni wako nunua tu mbili coz utashishikwa buree ukisave jina namba haionekani otherwise third part awe na iyo namba ndo ataweza kuview profile na namba
 
Asante kwa aliyepost app ya yeez asee ni kiboko nimemaliza kila kitu
 
Kwa ajili ya elimu tu naomba Msaada wa namna ya kutengeneza majadiliano/ conversation hasa ya whatsapp . kama kuna app au namna yoyote ile ya kufanya hivyo naomba Msaada

NAWASILISHA
Tumia yazzy ipo playstore...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom