Msaada: kusafirisha mzigo kutoka USA

Msaada: kusafirisha mzigo kutoka USA

A2G

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
283
Reaction score
834
Heshima zenu wakuu

Kwa ambaye anajua kampuni ambayo inaweza kusafirisha mzigo kutoka Marekani hasa mji wa Iowa kuja Tanzania kwa njia ya ndege Naomba msaada wa mawasiliano yao

Au kama kuna mtu ameshawahi kusafirisha mzigo kwa kutumia huduma za cargo za mashirika makubwa ya ndege pia naomba aniunganishe na wahusika

Natanguliza shukurani
 
Nasikia kuna vikampuni vya kibongo ila utapeli mwingi kuwa makini navyo.
 
  • Thanks
Reactions: A2G
IMG-20170922-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom