MUSSA MLENGULE
New Member
- Jan 20, 2013
- 3
- 2
Pita pita kwenye website hii ujisomee pengine unaweza ambulia chochote
Bonyeza HAPA
Siku hizi wanaJf wamebadirika, miaka ya nyuma tulikuwa tunasaidiana kama ndugu wa mama mmoja ila siku hizi hata uombe msaa wa kitu gani hupata ufumbuzi wa tatizo lako, Hili jambo linanisikitisha kweliShukrani sana mkuu.
Ni kweli usemacho mkuu, Labda yale yaliyosemwa kuhusu dalili za kiama ama nyakati za kukaribia kwake yanatimia hivyo taratibu taratibu.Siku hizi wanaJf wamebadirika, miaka ya nyuma tulikuwa tunasaidiana kama ndugu wa mama mmoja ila siku hizi hata uombe msaa wa kitu gani hupata ufumbuzi wa tatizo lako, Hili jambo linanisikitisha kweli
Shukrani sana mkuu, Kwa dutu hizi za thamani.Kwenye Coding unataka apps za kuandika code mwenyewe au unataka code ambazo watu wameshaandika uwe unazifanyia mazoezi au unataka source code za project yoyote upate ujuzi au inakuaje?
Hapa naweza kusaidia kama ntaelewa ni kitu kipi unakitafuta hapa.Kama unatafuta apps kwa lengo la kuandika mwenyewe code tumia default app ya kwenye pc yako au download editor inaitwa Notepad++(ni ya bure) na ni rafiki kwa watumiaji wa level zote.Kama unatumia simu pia jaribu kutafuta app inaitwa Acode(inasupport JS,HTML and CSS) au Dcoder(Hii ina support lugha karibia zote lakini lazima data iwe on)
Hapa ungenisaidia kunitajia unataka kuandika code katika lugha ipi inakuwa nyepesi kwangu kusema software ipi itakuwa boraShukrani sana mkuu, Kwa dutu hizi za thamani.
Nitaitafuta hiyo Acode.
Naomba uniongezee hizo za kutengenezea code mwenyewe.
Python & PHP.Hapa ungenisaidia kunitajia unataka kuandika code katika lugha ipi inakuwa nyepesi kwangu kusema software ipi itakuwa bora
Kwa python siwezi toa pendekezo bora kwa maana sio mtumiaji wa muda mwingi lakini kuna IDE nyingi unaweza jaribu moja inaitwa pydev kama sijakosea ambayo inapatikana kwenye tovuti ya eclipse.orgPython & PHP.
Nashukuru sana mkuu, Umenipatia muongozo murua kabisa huu.Kwa python siwezi toa pendekezo bora kwa maana sio mtumiaji wa muda mwingi lakini kuna IDE nyingi unaweza jaribu moja inaitwa pydev kama sijakosea ambayo inapatikana kwenye tovuti ya eclipse.org
Kwa PHP hapa ndipo uwanja wa nyumbani.Kuna njia nyingi za kufanya kazi na PHP.Njia ya kwanza na nyepesi ni kuinstall program inaitwa XAMMP ambayo inapatikana kwenye tovuti ya apachefriends.org(faida ya hii hapa ni kwamba utakuwa na Apache kama server utakuwa na MariaDB au MySql database,inafanya kazi na OS zote).
Lakini pia ipo njia nyingine ambayo ina changamoto kidogo na hii unatumia Command Line kwenye pc yako.Ugumu wa hii njia ni kwamba huwezi kufanya kazi na database ndio maana siwezi pendekeza hii njia.
Mwisho kabisa kama unatumia simu kuandika code tafuta app inaitwa DCODER hii inasupport karibia lugha zote na python ikiwemo
Hapana shida wale manguli wa tec wamepotea jukwaani humuSiku hizi wanaJf wamebadirika, miaka ya nyuma tulikuwa tunasaidiana kama ndugu wa mama mmoja ila siku hizi hata uombe msaa wa kitu gani hupata ufumbuzi wa tatizo lako, Hili jambo linanisikitisha kweli
Hapa ninaswali kidogo. Udukuzi katika android unafanyikaje.Software za hacking? Download OS inaitwa Kali Linux, ni open source developed specifically for penetration test (hacking) alafu njoo nikufundishe functions zake kama sqlmap, hapo utajifunza namna ya kucheza na database, kuna command line ukifanikiwa kuingia kwenye database ya victim utaimanipulate as if wew ndo Data Admin.
Then kuna function kama SSL Strip, hii ni maalum kwa kuiba password za computer iliyokwenye system, wanaiita man in middle attack ukifanikiwa kuijua vizuri unaset computer ya victim kila atakachokifanya unakiona.
Alafu kuna metasploit, hii kwa ajiri ya kukomprimise computer ya victim hii ukiweza kuijua unaset code za vizuri ambazo ukiweza kufanikiwa kuingia kwenye computer ya victim unaweza iba doc zote zilizopo kwenye computer. Hapa mara nyingi ili kuingia computer huwa wanategeneza link then wanaisambaza kwa kama vile checkout this you have won... Au free internet... Au vyovyote vile ambavyo raia wanapenda vya bure then akikilick link metasploit anaingia then anaanza kufanya yake kulingana na ulivyomset.
Inshort kwenye kali Linux kuna kila kitu unachokihitaji kwa ajiri ya hacking. Nilipractise kipindi niko chuo nilijifunza vitu vingi vya hacking ila badae niliona ntakufa njaa kupata soko lake, other wise uwe bad guy na nikitu ambacho binasfi sikupenda nikaamua kuachana nayo..
Utakutana na huu msemo " The quiet you become the more your able to hear"
Ni mkweli, mkuu!Hapana shida wale manguli wa tec wamepotea jukwaani humu
Kumbe, waliobakia ni wababaishaji tu sioHapana shida wale manguli wa tec wamepotea jukwaani humu
Nashukuru sana mkuu, Umenipatia muongozo murua kabisa
Mkuu hivi unafahamu namna ya kuhack mawasiliano upande wa sms kwa kisimu cha batani, yaani akitumiwa sms na mimi naiona au naipataNi kweli usemacho mkuu, Labda yale yaliyosemwa kuhusu dalili za kiama ama nyakati za kukaribia kwake yanatimia hivyo taratibu taratibu.
Mkuu mimi sio mtaalam wa haya ningechangiaNi mkweli, mkuu!
Karibu kwa mawili matatu hapa.
Mh!Mkuu mimi sio mtaalam wa haya ningechangia
Wapo manguli wengi, Lakini hawajibu kwa sababu:-Kumbe, waliobakia ni wababaishaji tu sio