Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,801
Nahitaji unipatie unazofahamu wewe
Hapo juu limetangulia neno "Msaada", Sasa nakuchekije tena mkuu!?!!!yaani mkuu na code kabisa..sasa wewe utakuwa umefanya nini..
kama upo arusha nichek ila code hapana
[emoji1787][emoji1787]
msaada mwenye kujua kutrack simu anisaidie plzHapo juu limetangulia neno "Msaada", Sasa nakuchekije tena mkuu!?!!!
Ni simu janja yaani smartphones au ni feature phones yaani hizi za kifundo (button/batani)?msaada mwenye kujua kutrack simu anisaidie plz
Sasa mkuu wangu unaniuliza tena badala ya kunichimbia madini!?!!Unafanyaje ku-hack? Coding ni nini?
Shukrani sana mkuu, Ngoja niendelee kuwasubiria.Ngoja waje kukupa muongozo...
Shukrani sana mkuu.Wanakuja kukupa muongozo