Msaada kupata magazeti ya sani

Msaada kupata magazeti ya sani

Ninja assasin

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2018
Posts
3,035
Reaction score
6,901
Wakuu naombeni kujua jinsi gani naweza pata makala za kitambo nimejikuta nawamisi akina lodi lofa mapungo pimbi baba ubaya na wengine wengi nimejaribu google sipati mzigo kamili
sani.gif
lodilofa1.jpg
1496433_Screenshot_2017-03-23-08-18-41.jpg
downloadfile.jpg
 
Daa aisee ivi hawa watunzi wa ili gazeti walienda wapi. Mana nilisikia wanataka kurudi lakini hadi leo hola
Comrade kipepe
Mapung'o
Chepe
Sokomoko
Zena
Betina
Pimbi anavyopenda mademu. Harakati za Pimbi.
Ili gazeti lilikuwa tamu sana.
Na uchoraji hodari.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu huyu mwamba alikuwa fundi sana iv hakuna makala zilizoko pdf tuzitafute alikuwa ananikosha sana mazoez ya Bush star nizaid ya Tpdf kukwepa mishare kupikwa kweny chungu 😂😂😂
 
Jamani nimekumbuka mbali, nilikuwa napenda kuyasoma nilikuwa namuibia dadaangu naenda nayo shuleni, [emoji2]
Kuna lingine lilikuwa linaitwa bongo sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana muhenga Kuna rafk angu nilikuwa naongea nae akanikumbusha team ya bush star 😂😂😂daa way back on the days tulikuwa tunainjoy sana aya ma vitu
 
ile floor ya kwanza ndio yapo, achana na ground floor, ila Lodi Lofa fala sana
daaa kitambo sanaaaa ngoja nikipata muda nikachek mzigo na hamu na timu yangu pendwa ya bush star chini ya injinia captain wa kikosi mapong'o

Shukran sana mkuu 👍
 
Wakuu nami nahitaji kopi zote za hayo magazeti....

Nazipataje?
 
Nilikuaga nayo mengi sana, ila kwa sasa sina hata moja...
 
Back
Top Bottom