Msaada kupata chanel kwenye dish

Msaada kupata chanel kwenye dish

Madagiz

Senior Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
185
Reaction score
56
Wana Jf ninatumia dish la futi 6 ila chanel teni,star tv na Tbc hazipo kabisa naombeni kufahamu jinsi ya kuzipata hizi chanel.
 
Tbc intelsat 906 (64.1E)
Frequency... 3891
Pol......H
Symbol rate ....3072
 
nashukuru bro,vp kuhusu Chanel ten na Star tv
 
Nashauri kamtafute fundi maana hapo kuna mambo mengi yaweza kukutesa.
 
fungua website ya lyngsat au ambacho hujaelewa ni nini?
natumia DVB,Kwasasa nakamata local chanel kama TBC,ITV,CAPITAL,EATV na chanel ten,pamoja na hizo za msumbiji.

Nimeona naweza ongeza zingine mfano UBS Hiyo ya uganda,issue hapa ni kuwa naingiza namba gani ni hizo namba za freguency peke yake au ni vije?
 
Mkuu Elungata ( umenikumbusha mambo ya Willy Gamba) ni kweli unaweza kuongeza.channel kibao.
Kama wanavyosema wadau ingia mtandao wa lyngsat hapa kuna jedwali lenye frequencies kibao za kulipia na za FTA
 
hata hivyo chanel zote alizotaja jamaa bado ni majanga ktk dish la ft 6,namshauri anunue dish la ft 8 ili afurahie ulimwengu wa FTA
 
Back
Top Bottom