msaada kupanga hiki kitabu kimescaniwa

Mfuatiliaji

Senior Member
Jun 5, 2008
153
33
wandugu nilikuwa najaribu kusoma hiki kitabu ila nimeshindwa naomba mtu ambaye anaweza kikipanga kisomeke kwa mpangilio naamini nitapata msaada.
 
Mfuatiliaji, kupanga kitabu kilichowekwa kwenye PDF format siyo rahisi. Nakusahuri usome kurasa moja tu kwa siku kuchoka kutapungua (yaani usifunge chote "staple" kitakuchosha) Pia unawza kuruka vielelezo (tables) mpaka raundi ya pili. Nakutakia siku njema!
 
ndivyo kilivyo tayarishwaila kwa jinsi kilivyo hakina mpangio ndio nimeomba kusaidiwa kukipanga ili niweze kukisoma hapo ukisoma kichwa kinauma na kizunguzgungu zaidi
 
ndivyo kilivyo tayarishwa ila kwa jinsi kilivyo hakina mpangio mzuri wa kusoma ndio mana nimeomba kusaidiwa kukipanga ili niweze kukisoma hapo ukisoma kichwa kinauma na kizunguzgungu zaidi
 
ishu ni kwanba kuna vyitu unatakiwa uvifanya katika kipindi fulani na jinsi kilivyo hakijaenda kwa series ndio mana nimeomba msaada kupangiwa kwa wataalam au kama kuna mtu alikuwa na hard copy nirahisi kukipanga .mfano unachukua page ya kwanza unacopy na kupest kwenye ms word mpaka page ya mwisho then unanitumia
 
Labda hizo ndizo changamoto za ujauzito, kuona baadhi ya vitu "ndivyo sivyo". Ushauri pekee wa uhakika ni kujitahidi kukisoma hivyo hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom