AZAM TV ANZISHENI CHANNEL HIZI....

AZAM TV ANZISHENI CHANNEL HIZI....

PRINCEd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
862
Reaction score
625
Azam Tv umefka wakati sasa wa Kujitathimini....baada ya kufungwa kwa Local channels kama WASAFI TV, CLOUDS TV, EATV na nyinginezo ambazo muda mwingi zilitupa burudani ya Muziki.....sisi wapenzi wa buruduni tunaona muda umefka sasa wa kuanzisha channel zifuatavyoo...

1. Anzisheni AZAM MUSIC hapa namaansha channel ambayo itapiga muziki za aina zote Non-Stop, kama ilivyo nilizozitaja ukoo juu...hii channel itasaidiaa pia kukuza music wa Tanzania.. kipindi chenu cha PlayList hakitoshelezi mahitaji ya music

2. Anzishen AZAM NEWS hapa tutapata habari muda mwingi za kiswahili na kingereza, kitaifa na kimataifa na kupata faraja baada ya habari yenu ya saa 2 usiku kupotelea kusikojulikana......

3. Boresheni channel yenu ya Sinema zetu ianze kuonesha filam ambazo ni latest lkn pia filam za nje na tamthilia mbali mbali za ndani na nje na ratiba iwe inatolewa filam gani itaoneshwa lini na saa ngapi kama ilivyo HBO...

4. Sijawahi kuielewaa AZAM ONE sijui ilianzishwa kwa malengo yapii mwaweza iboresha ikawa ya Kimakala, hapa tukaona documentary mbalimbali za tanzaniA na nje ya mipaka yetu.....

5. Anzisheni Channel ambayo itaelimisha watu kuhusu maisha, kilimo, uvuvi, ufugaji, elimu, sayansi, jamii, hapa viandaliwe vipindi mbalimbali hapa vipindi kama masapta sapta, makala za kilimo za jamali hashim, medicounter, vitakaa hapa....

Hapa iwe yaan mtu akifungua king'amuzi cha Azam anakutana na channel zenu zaidi ya Saba ndo aende kenyaa uganda,rwanda na akakutane na channel zenu za Kihindi ambzo wengi wetu tungeweza kuzifuta tushazifuta zaman....

Mwisho punguzenii bei za vifurushii...cha juu zaidii kiwe 20000/=

Naomba ujumbe huu uwafikie Azam Tv

Nawasilishaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto za mchana hizo mkuu, hawana ruhusa ya kurusha habari kwa sababu kea mujibu wa katiba ya JMT mwananchi anahaki ya kupata habari (hiyo news channel wataitoa bure)
.
Kuhusu Azam music, azam hakuna watu wa muziki (hakuna wabunifu kabisa kama waliopo CMG).
.
Sinema zetu hapa ndo nyumbani sasa wakifanya kama ulivyoomba watashika sana. Wanajifanya vichwa ngumu serikari inawasomesha namba sasa na nduguze DSTV na ZUKU, ila zuku nashangaa wao bado wanatoa Wasafi tv na clouds plus sielewi
 
Point yako namba 2. Mkuu wengi hawafahamu Azam wana channel yao inaitwa UHAI TV. (UTV) Hii ndio inarusha News tangu Azam two iliposhindwa kurusha habari kutokana na mambo yao huko TCRA.
Chakushangaza channel hii ipo kwenye baadhi ya visimbusi. Kwenye kisimbusi chao bado haijawekwa rasmi.
IMG_20190313_201106.jpg
 
Point yako namba 2. Mkuu wengi hawafahamu Azam wana channel yao inaitwa UHAI TV. (UTV) Hii ndio inarusha News tangu Azam two iliposhindwa kurusha habari kutokana na mambo yao huko TCRA.
Chakushangaza channel hii ipo kwenye baadhi ya visimbusi. Kwenye kisimbusi chao bado haijawekwa rasmi.View attachment 1044983
Hili pia ni jaribu kwann sasa haiwekwi azam ikawa buree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tokea walipoacha kuonesha habari nimeacha kukilipia. Bora nilipie star times ambayo kwakweli siipendi but wanaonesha habari
Point yako namba 2. Mkuu wengi hawafahamu Azam wana channel yao inaitwa UHAI TV. (UTV) Hii ndio inarusha News tangu Azam two iliposhindwa kurusha habari kutokana na mambo yao huko TCRA.
Chakushangaza channel hii ipo kwenye baadhi ya visimbusi. Kwenye kisimbusi chao bado haijawekwa rasmi.View attachment 1044983

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tokea walipoacha kuonesha habari nimeacha kukilipia. Bora nilipie star times ambayo kwakweli siipendi but wanaonesha habari

Sent using Jamii Forums mobile app
Polee jamaa nadhani mashariti yame washinda.
Nilisikia kwamba channel inayorudha habari inatakiwa iwe na kwenye visimbusi vingine. Jamaa naona wakaona ni ngumu Azam two kuiweka kwenye visimbusi vingine.
 
Ipo mbona [emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom