Msaada kuondoa keylock sansan TV

Msaada kuondoa keylock sansan TV

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Wakuu naomba msaada
Nina sansan inch 22,flat screen...nimelock key kwa bahati mbaya..nimeweka on..

Naomba msaada jinsi ya kutoa keylock..na remote sina

Natanguliza shukrani
 
nenda kkoo kanunue remote used ziko mingi sana pale
 
Am in the same problem. Holding the Power Key isn't working. Help me.
na ya kwako ni sansan pia? mngekuwa mnanunua tv nzuri sasa hivi ungekuwa unaelekezwa tu App ya kutumia kwenye simu yako ili iwe kama remote.
 
Back
Top Bottom