Msaada kuomba ushauri

kisimbomeck

Member
Sep 9, 2016
35
18
Habari za jioni ndugu zangu, mimi ni kijana nina umri wa miaka 27 Nimemaliza degree yangu ya Taxation pale IFM, mwaka 2014 lakini hadi sasa naona changamoto ya ajira kwangu ni tatizo ukizingatia field niliyoisoma uwanja wake wa ajira ni TRA na sehemu zingine lakin chache sana.

Sasa nikawa na wazo la kujiendeleza kieleimu ili kupanua wigo wa kupata kazi,
Naomba mnishauri kuwa proffesiional gani ambazo/ambayo zina soko kubwa la ajira kwa sasa. Ili ikiwezekana nikasomee masters degree ya kozi hiyo.

Naombeni ushauri na kama Kuna mtu mwenye mtazamo mwingine naomba anishauri.
Ahsanteni
 
bro hiyo ada karibia 6mil ni mara mia ukaenda kujiajiri...vinginevyo ukimaliza masters utarudi tena kutuomba ushauri NB. nimtazamo wangu tu
 
Mmh aisee hii ishakua balaa tn tz hio fucult nilitaka kusoma ila fate ikanipeleka ktk health nilijua ni fuculty ubwabwa kwa ajira bro usivunjike moyo pambana kutafta ajira cause ata ukasoma tena unakuja kukaa tena juu bora kwanza tafta ajira baadae unawez kuja kusoma ukipata ajira degree kwa tz sio level ndogo
 
Back
Top Bottom